kiborinangari
Member
- Apr 24, 2015
- 90
- 23
Daaaaaah hii nchi sijui ni vitu gani hivi;
View attachment 270967 View attachment 270968
======
View attachment 270967 View attachment 270968
======
Habari,
Kuna hiki kipindi cha Friday Night Live (FNL), nilikuwa mpenzi wa kipindi hiki ila sasa nitaacha kabisa, kipindi hiki kinaenda kuvunja maadili yetu.
Nauliza TCRA mko wapi? Kama mlimfungia Jux kwenye nyimbo yake UZURI WAKO, kwanini mshindwe hii ya FNL kuwapa onyo huyu mtayarishaji kuhusu hawa wadada GIGGY MONEY NA MWENZIE KUZINGATIA MAVAZI?!
Watu wako uchi lakini TCRA mnaenjoy hili. Hebu siku moja mkae mtazame hiki kipindi muone hao kina Dada walivyo.
Kwa wanaotazama wanajua kile nachosema. Kipindi kinaenda kuwa sehemu ya kuvunja maadili ya kitanzania.
Mtu anavaa bikini hiyo inaonekana, matiti hayo nje nje.
View attachment 257924
Aisee kama mambo yenyewe ndo haya ntakuwa najitahidi kila ijumaa kukisikilizia hiki kipindi, si unaona neema hizi?