Kipindi cha E20 anachofanya B12 sioni kama kina nafasi katika dunia ya sasa

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
B12 ni mtangazaji wa kipindi cha E20..content yake imebase katika kutoa orodha ya nyimbo 20 bora Tz.
1.kwanza wasanii kwa sasa hawana vibe na top 20 akili yao iko YouTube zaidi.

2.E20 haina uhalisia coz unawezaje kutoa list ya nyimbo bora halafu unaiacha nyimbo ya zuchu Sukari...hapa namaanishaa haiusishi wasanii wote.

3. Show yake imepoa sana haina ubunifu bora Jonijo unaona kuna kitu anafanya.

B12 anatakiwa afanye reform ya kipindi chake ili apate listeners wengi.
 
B12 ni mtangazaji wa kipindi cha E20..content yake imebase katika kutoa orodha ya nyimbo 20 bora Tz.
1.kwanza wasanii kwa sasa hawana vibe na top 20 akili yao iko YouTube zaidi.

2.E20 haina ualisia coz unawezaje kutoa list ya nyimbo bora alafu unaiacha nyimbo ya zuchu Sukari...hapa namaanishaa haiusishi wasanii wote.

3.show yake imepoa sana haina ubunifu bora jonijo unaona kuna kitu anafanya...

Sikilizeni ngoma kali. Acheni kuwa watumwa wa Hype.

Hivi inakuaje top 20 ya channel flani ni tofaut na top 20 cha channel nyingine wakati wote wapo nchi moja.?
 
B12 ni mtangazaji wa kipindi cha E20..content yake imebase katika kutoa orodha ya nyimbo 20 bora Tz.
1.kwanza wasanii kwa sasa hawana vibe na top 20 akili yao iko YouTube zaidi.

2.E20 haina ualisia coz unawezaje kutoa list ya nyimbo bora alafu unaiacha nyimbo ya zuchu Sukari...hapa namaanishaa haiusishi wasanii wote.

3.show yake imepoa sana haina ubunifu bora jonijo unaona kuna kitu anafanya...

B12 anatakiwa afanye reform ya kipindi chake ili apate listeners wengi.
Jamaa anatangaza kwenye TV kama anatangaza redioni, muda wote wa kipindi, macho ameelekeza kwenye laptop yake. Kipindi cha burudani kutangaza huku umekaa nk kunapoteza vibes
 
B12 ni mtangazaji wa kipindi cha E20..content yake imebase katika kutoa orodha ya nyimbo 20 bora Tz.
1.kwanza wasanii kwa sasa hawana vibe na top 20 akili yao iko YouTube zaidi.

2.E20 haina ualisia coz unawezaje kutoa list ya nyimbo bora alafu unaiacha nyimbo ya zuchu Sukari...hapa namaanishaa haiusishi wasanii wote.

3.show yake imepoa sana haina ubunifu bora jonijo unaona kuna kitu anafanya...

B12 anatakiwa afanye reform ya kipindi chake ili apate listeners wengi.
Na wewe si listener wake? Umevutiwa na nini?

Kama vipi basi anzisha kipindi cha kwako kama vipi.
 
Back
Top Bottom