KIPIMO!!!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,737
4,252
Njia za kujua kama umri umekwenda:

1. Ikiwa unafikiri ya kwamba 208 ni mia mbili na nane, bac jua umri umekwenda. Hiyo ni TUONANE

2. Kama unadhani 10Q ni kumiQ, basi unazeeka, hii ni THANK YOU.

3. Kama unafikiri 24gt ni ishirini na nne gt basi uko klabu ya wazee. Hiyo ni TO FORGET

4. Kama unadhani 21002 ni elf ishirini na moja na mbili, bas umekula chumvi, hii ni TUMIA TU.

5. Na ukiona leo ndio mara ya kwanza kuyasikia hayo maneno tafuta mkongojo haraka uanze kutumia........?
 
mistaki bwana..... ww dogo noumaaaa umeiiba wapi hi?
 
Njia za kujua kama umri umekwenda:

1. Ikiwa unafikiri ya kwamba 208 ni mia mbili na nane, bac jua umri umekwenda. Hiyo ni TUONANE

2. Kama unadhani 10Q ni kumiQ, basi unazeeka, hii ni THANK YOU.

3. Kama unafikiri 24gt ni ishirini na nne gt basi uko klabu ya wazee. Hiyo ni TO FORGET

4. Kama unadhani 21002 ni elf ishirini na moja na mbili, bas umekula chumvi, hii ni TUMIA TU.

5. Na ukiona leo ndio mara ya kwanza kuyasikia hayo maneno tafuta mkongojo haraka uanze kutumia........?
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom