Elections 2010 Kipimo cha ushindi wetu(chadema) 2015 utatokana na ushindi wa serikali za mitaa 2014

Ngonini

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
2,023
562
Wapendwa wanajamvi la JF, napenda kuwapongezeni kwa kazi nzuri tuliyoifanya ya kukifikisha chama chetu na Rais wetu Dr. Slaa hapa tulipo hii Leo. Ni ukweli usiofichika kwamba CHADEMA tumemefanya kazi nzuri naimewakuna wengi wapenda maendeleo na wanaochukia dhuluma wanayofanyiwa watanzania na serikali ya mafisadi. Tumeona mafisadi wameongezeka pia mwaka huu maana CCM sasa ni chama cha wafanyabiashara wanaoingia Bungeni ili kulinda maslahi haramu wanayojipatia ndani ya nchi yetu.

Naamini kila mmoja wetu anatambua kuwa bado tunayo kazi ngumu ya kuikomboa nchi hii kutokana na udharimu unaoendelea hivi leo nchini kwetu. Ugumu wa kazi yetu hauko katika kupambana na mafisadi ana kwa ana bali upo katika kuwaamusha usingizini watanzania waliolala huko vijijini. Mimi naamini nchi hii itakombolewa kwa elimu ya urai kwa watanzania walioko vijijini ambao ndio wengi na ndo wapiga kura.

Naamini kipimo cha ushindi kipo katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 maana ndiyo hujenga msingi wa ushindi wa uchaguzi mkuu. Unapokuwa na viongozi wa serikali za mitaa wa chama chako inamaana kuwa chama kimewafikia wananchi wa maeneo hayo. Wananchi wanachagua chama kilichokaribu nao. Tumeshuhudia namna ambavyo pasipo kutarajiwa NCCR-Mageuzi wamepata wabunge katika baadhi ya majimbo, si kwa sababu walikuwa wazuri lakini ni kwa sababu walikuwa wanaonekana wapo katika hayo majimbo kwa muda mrefu.

Kwa maoni yangu 2014 si mabli na ukizingatia ukubwa wa hii nchi tunahitaji muda wa kutosha wa kukitambulisha chama kwa wananchi. Tunahitaji kupita kila kijiji na kufafanua matatitozo ya ufisadi yanavyoipeleka nchi hii pabaya.

Mimi naamini wananchi wengi hawaipendi CCM ila hawajui wachague nini badala yake. Mimi nimejaribu kuchunguza wakati wa kampeni nikaona kuwa tatizo lilikuwa ni muda mdogo wakumfanya Dr. Slaa afahamike kwa wannchi wa vijijini. Tumefanya kazi ngumu ya kuwashawishi wazazi wetu huko vijijini lakini ilikuwa ni vigumu kutuamini kwa sababu hawakuwahi kukisikia chama cha CHADEMA wala Dr. Slaa.

Nchi hii ni ya Chadema na wapinzani wengine 2015 kama tutatajipanga vizuri maana tumeona jinsi watu walivyoweza kuhamasika na kubadilika katika kipindi cha siku 70 tu na kuleta haya mabadiliko makubwa ambayo CCM hawamini macho yao hata kidogo.Ukweli ni kwamba Chadema ndiyo inatawala nchi hii maana halmashauri katika majiji na miji mingi zitaongozwa na Chadema sasa.

Tunahitaji kuanza mapambano sasa ya kushinda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa hapo 2014. Tusifanye makosa ya kuuchukulia uchaguzi huu kuwa hauna maana kwetu itakuja kula kwetu 2015.

Tushutuke sasa tuanze kazi mpaka kieleweke, Ruzuku ya chama na michango ya wakereketwa ndiyo iwe kazi yake kwa miaka hii mitatu inayokuja.

Naomba kuwasilisha.......................
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164

Kabla hata sijasoma, najua una point.
 
njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,044
4,954

kwa kifupi chadema mjikung`ute kumaliza ukiritimba wa kikabila na kiokoo ndani ya chama kwanza, mzee slaa aweke sawa mambo ya ndoa, 2015 rudini atlist mtaongeza idadi hata ya asilimia 3% hivi
 
Ngonini

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
2,023
562
Hizo ndo strategy za Chama cha mafisadi, hamna jipya ndiyo maana mnakimbilia kusingizia UKABILA na UDINI. Tanzania hakuna mambo kama hayo mimi mwenyewe sijui hata kabila la Dr. SLaa lakini na muunga mkono japo ninatokea kabila kubwa kuliko yote Tanzania ambalo tukiamua kuchukua nchi kupitia ukabila wala hakuna atakaye tuzuia.

Kama ni ukabila basi Kabila la CHADEMA ni kubwa maana liko nchi nzima.... toka MBEYA,RUKWA, MWANZA, MUSOMA, IRINGA, Kilimanjaro,ARUSHA, MANYARA, DAR KIGOMA,KAGERA,SIGINDA,SHINYANGA.

Kimbuga kinakuja wala hakuna atakayezuia 2015, lazima mabadiliko yatimie. Kuleni sana hii miaka mtano ila mjue mtavitapika baada ya 2015 maana hukuna jiwe litakalo bakia juu ya jingine lazima mafisadi mrejeshe. Hatakama mtakuwa mmekufa bado watoto wenu wataiona nchi hii ni Ahera. Maisha yatabadilika ni kama LAZARO na yule tajiri... kama ni msomi wa maneno ya Mungu unalitambua hilo na litatimia pasipo shaka!
 
Nyahende Thomas

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
211
103
Wapendwa wanajamvi la JF, napenda kuwapongezeni kwa kazi nzuri tuliyoifanya ya kukifikisha chama chetu na Rais wetu Dr. Slaa hapa tulipo hii Leo. Ni ukweli usiofichika kwamba CHADEMA tumemefanya kazi nzuri naimewakuna wengi wapenda maendeleo na wanaochukia dhuluma wanayofanyiwa watanzania na serikali ya mafisadi. Tumeona mafisadi wameongezeka pia mwaka huu maana CCM sasa ni chama cha wafanyabiashara wanaoingia Bungeni ili kulinda maslahi haramu wanayojipatia ndani ya nchi yetu.

Naamini kila mmoja wetu anatambua kuwa bado tunayo kazi ngumu ya kuikomboa nchi hii kutokana na udharimu unaoendelea hivi leo nchini kwetu. Ugumu wa kazi yetu hauko katika kupambana na mafisadi ana kwa ana bali upo katika kuwaamusha usingizini watanzania waliolala huko vijijini. Mimi naamini nchi hii itakombolewa kwa elimu ya urai kwa watanzania walioko vijijini ambao ndio wengi na ndo wapiga kura.

Naamini kipimo cha ushindi kipo katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 maana ndiyo hujenga msingi wa ushindi wa uchaguzi mkuu. Unapokuwa na viongozi wa serikali za mitaa wa chama chako inamaana kuwa chama kimewafikia wananchi wa maeneo hayo. Wananchi wanachagua chama kilichokaribu nao. Tumeshuhudia namna ambavyo pasipo kutarajiwa NCCR-Mageuzi wamepata wabunge katika baadhi ya majimbo, si kwa sababu walikuwa wazuri lakini ni kwa sababu walikuwa wanaonekana wapo katika hayo majimbo kwa muda mrefu.

Kwa maoni yangu 2014 si mabli na ukizingatia ukubwa wa hii nchi tunahitaji muda wa kutosha wa kukitambulisha chama kwa wananchi. Tunahitaji kupita kila kijiji na kufafanua matatitozo ya ufisadi yanavyoipeleka nchi hii pabaya.

Mimi naamini wananchi wengi hawaipendi CCM ila hawajui wachague nini badala yake. Mimi nimejaribu kuchunguza wakati wa kampeni nikaona kuwa tatizo lilikuwa ni muda mdogo wakumfanya Dr. Slaa afahamike kwa wannchi wa vijijini. Tumefanya kazi ngumu ya kuwashawishi wazazi wetu huko vijijini lakini ilikuwa ni vigumu kutuamini kwa sababu hawakuwahi kukisikia chama cha CHADEMA wala Dr. Slaa.

Nchi hii ni ya Chadema na wapinzani wengine 2015 kama tutatajipanga vizuri maana tumeona jinsi watu walivyoweza kuhamasika na kubadilika katika kipindi cha siku 70 tu na kuleta haya mabadiliko makubwa ambayo CCM hawamini macho yao hata kidogo.Ukweli ni kwamba Chadema ndiyo inatawala nchi hii maana halmashauri katika majiji na miji mingi zitaongozwa na Chadema sasa.

Tunahitaji kuanza mapambano sasa ya kushinda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa hapo 2014. Tusifanye makosa ya kuuchukulia uchaguzi huu kuwa hauna maana kwetu itakuja kula kwetu 2015.

Tushutuke sasa tuanze kazi mpaka kieleweke, Ruzuku ya chama na michango ya wakereketwa ndiyo iwe kazi yake kwa miaka hii mitatu inayokuja.

Naomba kuwasilisha.......................

Naunga mono hoja yako mkuu,
Labda niongezee tu kidogo kwamba hapa jukwaani kuna watanzania wengi sana wana mageuzi, ningedhani kwamba sasa ni muda muafaka kwao kutoka kwenye key boards na kuingia kwenye "michakato" ya kisiasa ili waweze kusaidia kuongeza nguvu. Ni vizuri kweli vyama vya upinzani vikajipanga mapema kwa kuwa karibu na wananchi kwa kufungua matawi mitaani na vijjini ili badala ya kusubiri kipindi cha uchaguzi kwa kuwa muda huo tayari ccm wanakuwa karibu na wananchi muda wote huo na kuwa rahisi kuwarubuni. Hapa inabidi vyama vya upinzani vicheze huu mchezo dhidi ya ccm mtu na mtu, hakuna kuwapa nafasi hata kidogo.
 
Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,685
330
kwa kifupi chadema mjikung`ute kumaliza ukiritimba wa kikabila na kiokoo ndani ya chama kwanza, mzee slaa aweke sawa mambo ya ndoa, 2015 rudini atlist mtaongeza idadi hata ya asilimia 3% hivi

CCM yenyewe ni ya kidini na kifamilia haifai inanuka. Ndio maana walikoshindwa watu wanataka kufunga hata ofisi zao wasizione kabisa
 
Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,866
984
kwa kifupi chadema mjikung`ute kumaliza ukiritimba wa kikabila na kiokoo ndani ya chama kwanza, mzee slaa aweke sawa mambo ya ndoa, 2015 rudini atlist mtaongeza idadi hata ya asilimia 3% hivi
Sisi m ndio chama cha kidini Tanzania i.e uislamu na ndicho chama cha kifamilia wacha tu kuwa cha kikabila.
 
Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
221
wapendwa wanajamvi la jf, napenda kuwapongezeni kwa kazi nzuri tuliyoifanya ya kukifikisha chama chetu na rais wetu dr. Slaa hapa tulipo hii leo. Ni ukweli usiofichika kwamba chadema tumemefanya kazi nzuri naimewakuna wengi wapenda maendeleo na wanaochukia dhuluma wanayofanyiwa watanzania na serikali ya mafisadi. Tumeona mafisadi wameongezeka pia mwaka huu maana ccm sasa ni chama cha wafanyabiashara wanaoingia bungeni ili kulinda maslahi haramu wanayojipatia ndani ya nchi yetu.

Naamini kila mmoja wetu anatambua kuwa bado tunayo kazi ngumu ya kuikomboa nchi hii kutokana na udharimu unaoendelea hivi leo nchini kwetu. Ugumu wa kazi yetu hauko katika kupambana na mafisadi ana kwa ana bali upo katika kuwaamusha usingizini watanzania waliolala huko vijijini. Mimi naamini nchi hii itakombolewa kwa elimu ya urai kwa watanzania walioko vijijini ambao ndio wengi na ndo wapiga kura.

Naamini kipimo cha ushindi kipo katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 maana ndiyo hujenga msingi wa ushindi wa uchaguzi mkuu. Unapokuwa na viongozi wa serikali za mitaa wa chama chako inamaana kuwa chama kimewafikia wananchi wa maeneo hayo. Wananchi wanachagua chama kilichokaribu nao. Tumeshuhudia namna ambavyo pasipo kutarajiwa nccr-mageuzi wamepata wabunge katika baadhi ya majimbo, si kwa sababu walikuwa wazuri lakini ni kwa sababu walikuwa wanaonekana wapo katika hayo majimbo kwa muda mrefu.

Kwa maoni yangu 2014 si mabli na ukizingatia ukubwa wa hii nchi tunahitaji muda wa kutosha wa kukitambulisha chama kwa wananchi. Tunahitaji kupita kila kijiji na kufafanua matatitozo ya ufisadi yanavyoipeleka nchi hii pabaya.

Mimi naamini wananchi wengi hawaipendi ccm ila hawajui wachague nini badala yake. Mimi nimejaribu kuchunguza wakati wa kampeni nikaona kuwa tatizo lilikuwa ni muda mdogo wakumfanya dr. Slaa afahamike kwa wannchi wa vijijini. Tumefanya kazi ngumu ya kuwashawishi wazazi wetu huko vijijini lakini ilikuwa ni vigumu kutuamini kwa sababu hawakuwahi kukisikia chama cha chadema wala dr. Slaa.

Nchi hii ni ya chadema na wapinzani wengine 2015 kama tutatajipanga vizuri maana tumeona jinsi watu walivyoweza kuhamasika na kubadilika katika kipindi cha siku 70 tu na kuleta haya mabadiliko makubwa ambayo ccm hawamini macho yao hata kidogo.ukweli ni kwamba chadema ndiyo inatawala nchi hii maana halmashauri katika majiji na miji mingi zitaongozwa na chadema sasa.

Tunahitaji kuanza mapambano sasa ya kushinda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa hapo 2014. Tusifanye makosa ya kuuchukulia uchaguzi huu kuwa hauna maana kwetu itakuja kula kwetu 2015.

Tushutuke sasa tuanze kazi mpaka kieleweke, ruzuku ya chama na michango ya wakereketwa ndiyo iwe kazi yake kwa miaka hii mitatu inayokuja.

Naomba kuwasilisha.......................

good points

let us join solidarity power.
One day yes.....
It is possible....
5,000,000. Voters.....
Amazingly.................
I still dont believe......
Is it tanzania surely 40 million people to whom 19,000,000 were proposed to vote. And only 5,000,000 turnout........
No...no....!!!!
Dr slaa has got something to do with tanzanians surely let us be honest.

MADAM T

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,039
2,203
kwa kifupi chadema mjikung`ute kumaliza ukiritimba wa kikabila na kiokoo ndani ya chama kwanza, mzee slaa aweke sawa mambo ya ndoa, 2015 rudini atlist mtaongeza idadi hata ya asilimia 3% hivi

kweli huna akili kabisa, mi nadhani ccm ndio kuna ukiritimba kwa sababu naona wanachaguana wale wale kila siku mara mtoto wa fulani mara kimada wa fulani, nyie wachovu mnaambulia tshirt na kofia. Pole sana
 
Ngonini

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
2,023
562
Mwaka 2015 CCM hawatapata wagombea wazuri zaidi ya mafisadi hao hao ambao lazima tuweke strategic ya kuwang'oa. Sisi tutatumia vijana wenye uwezo wa kujenga hoja acha watumie pesa zao watu watakula na itakula kwao kama DIARO na MASHA! PESA siyo mtaji tena wa kupata ubunge katika majimbo yaliyozinduka usingizini. Ndiyo maana vita yetu iwe ni dhidi ya Ujinga wa wapiga kura kukosa elimu ya urai.
 
Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,781
3,216
kwa kifupi chadema mjikung`ute kumaliza ukiritimba wa kikabila na kiokoo ndani ya chama kwanza, mzee slaa aweke sawa mambo ya ndoa, 2015 rudini atlist mtaongeza idadi hata ya asilimia 3% hivi

Mimi nawasifu sana wachaga kwa kutumia ukabila kukijenga chama kwani historia inaonyesha waanzilishi ni wao .Walikuwa na haki ya kufanya hivyo lakini muda unavyozidi kwenda wachaga wanaruhusu milango kufunguka bila kufarakana kama ilivyokuwa NCCR-Mageuzi.Leo hii tunashuhudia chadema si ya wachaga tena ni ya watanzania kwa taarifa yenu wabunge wengi ndani ya chadema mwaka huu ni wa kabila la WASUKUMA( sHIBUDA, KASULUMBAYI, OPULUKWA, Pro.Kahigi na Dr.Mbasa) sasa hapo utasema cham ni cha wasukuma.

Tusiwe na mawazo mgando kama maziwa.
Tunawapongeza sana Mbowe na familia yake, Ndesa na familia yake bila kumsahau Mwasisi mzee wetu Mtei bila mshikamano wao wa kichaga leo CHADEMA isingefika hapo ilipo kwa kuwa hawakujali ukabila ndiyo maana watu kama akina Zitto na KIPENZI CHETU dr.Slaa wao ndiyo wamewika zaidi na kuiletea sifa chadema kwa uchapaji kazi wao.Leo hii hapa Tanzania hakuna chama imara kama chadema.Wanaosema ukabila wale ni wahuni tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom