mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Kuna tabia ya watu kuibuka na kupotea baada ya chaguzi. Kuibuka tena uchaguzi ukikaribia.
Kwa mtazamo wangu Maisha ya mtu atakaefaa kupambana katika mtanange wa uchaguzi 2020 yanatakiwa kuonekana sasa hadi siku ya uchaguzi.
Kama wapinzani wakikurupuka wakaja na mtu ambaye hakuwepo kabisa kwenye harakati na mikakati katika miaka 5 iliypita, wanaweza kuibuka na 5% ya kura zote.
Ruhusuni vijana machachachari wapitie ubatizo wa moto ili wafae kwa pambano kwenye box la kura mwaka 2020. kujifichaficha na kuviziavizia bila kujitoa Muhanga ili hata asiyejua kusoma akikiiona picha ajuie anamuona nani kutakuja kusababisha watu kupata mshtuko wa anguko kuu kupitia kasha la kura.
mjumbe hauwawi