Kipimo cha kupima virusi vya ukimwi nyumbani kinapatikana kwa sasa?

Ndio maana nimekuuliza unapatikana wapi hapo? Zinapatikana famasi kama vile unanunua panadol.

Huko unakouziwa kwa connection ni huko kwenu ila nilipo mimi na maeneo mengi nilikokua na kuvihitaji nimevinunua famasi kama vile unavyonunua panadol.
Niko Tabata na kazi zangu kkoo, Nielekeze unapovipata kama panadol
 
Connection kiaje
Kwani mfano zamani nilikuwa na mtu anayefanya kazi hospital alikuwa akiniletea, baadae nikapata mtu mwenye dispensary akawa anaenda kuninunulia kile kibox kizima Kwa 20000 anapiga hapo chake humo humo
 
Kwahyo na mimi nishajua range itasoma ngap
 
Ndio maana nimekuuliza unapatikana wapi hapo? Zinapatikana famasi kama vile unanunua panadol.

Huko unakouziwa kwa connection ni huko kwenu ila nilipo mimi na maeneo mengi nilikokua na kuvihitaji nimevinunua famasi kama vile unavyonunua panadol.
Unavoviuziwa ni vipi hivo !? Na SOP nayo wanakuuzia eeh!
 
Kwani mfano zamani nilikuwa na mtu anayefanya kazi hospital alikuwa akiniletea, baadae nikapata mtu mwenye dispensary akawa anaenda kuninunulia kile kibox kizima Kwa 20000 anapiga hapo chake humo humo

Alikuwa ananua wapi?
 
Ningependa kujua kama hichi kipimo kinapatikana madukani kwa sasa??
Usitafte pressure utauziwa huko wanakokushauri kumbe kime expired halafu ukajikondesha bure kwa mawazo.
Kama unaogopa kwenda medical tafuta hata medical laboratory iliyokaribu nawe ukapime .
 
Jaman wadau hivi kuwashwa sehemu za siri Kwa muda mrefu ni dalili ya hiv? Kama sio je ni ugonjwa gani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom