Kipimo cha full blood pictures | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipimo cha full blood pictures

Discussion in 'JF Doctor' started by The Boss, Jul 27, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Wataalam
  ningependa kujua kwa undani maana ya hiki

  kipimo cha full blood picture...

  Kinahusu vipimo vyote vya damu?including hiv?
  Au ni vipi?

  Je kinamsaidia dokta kupata picha ya magonjwa mengine kabla ya kupima?????????
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  yes......????????????
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Very interesting....
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  how???????
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  I too want to know.... alafu last time nilifanya hio kitu but hata wazo la kujiuliza

  Ulicho jiuliza halikuwepo kabisa.... Thus very interesting....
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  unajua hata mimi nashangazwa na jinsi
  madaktari wanavyokipa umuhimu hiki kipimo
  na kila nikipima na kuonyesha hakuna tatizo
  ni kama wana dismiss haja ya kupima vipimo vingine...

  sasa ndo najiuliza,hiki kipimo ni nini hasa????????
   
 7. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  vere vere
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hapo ndio tusubiri wataalam wamalize Rounds za clinic na kupunguza wagonjwa then watinge JF....
   
 9. F

  FUSO JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  kaka we nenda moja kwa moja ukacheki digambo - mambo ya kuanza ku beep kwa full blood picture ya kizamani hayo. dawa si zipo unaogopa nini?
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  dawa za kutibu nini zipo?
   
 11. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Full Blood Picture (FBP)...au kwa kitaalam zaidi inaitwa Full Blood Count (FBC) au Complete Blood Count (CBC) ni kipimo cha damu ambacho majibu yake yanaonyesha mgawanyiko au kiasi cha seli (cells) mbali mbali kwenye damu. The Idea is, mtu unapokuwa mgonjwa...mwili wako unarespond au kureact kwa kile kinachosababisha ugonjwa huo, mara nyingi kwa kutumia seli (cell mediated immunity) au chachu kama antibodies (Humoral immunity) kushambulia hicho chanzo cha ugonjwa mfano bacteria, virus etc. Sasa FBP/FBC/CBC inaangalia mabadiliko ya seli katika damu ili kuweza kupata idea (sio kuconfirm) kama kuna infection, na kama ipo basi labda ni ya asili gani (mara nyingi seli zinazorespond kwa bacterial infection ni tofauti na za viral infection)...zaidi ya kutoa mgawanyo wa seli, test hiyo pia hutoa kiasi na size (in volume) ya seli nyekundu hivyo kutoa idea kwa wagonjwa wenye upungufu wa damu basi unaweza kuwa upungufu wa aina gani (microcytic/megaloblastic anaemia) ambao unaweza kusaidia kutambua aina tofauti za upungufu wa damu.

  Kwenye ile fomu ya majibu, mgawanyiko/kiasi cha seli kwenye damu ya mgonjwa hulinganishwa na viwango standard (normal range) ambapo ukilinganisha unaweza jua kuwa viwango vimeongezeka au kupungua kutoka kwenye normal range. Pia kwa wataalamu waliobobea kwenye mambo ya damu wanaweza soma zile graphical presentation ili kuona mengi tu.

  LAKINI: FBP/FBC/CBC haitoi majibu ya HIV. Test ya HIV inapima antibodies (Humoral), japo kuna madaktari kwa kuangalia mgawanyiko wa seli anaweza akahisi unaweza kuwa na chronic illness (kuna cells hasa Lymphocytes) huwa zinabadilika mganyiko wake kwenye damu kama mgonjwa ana ugonjwa sugu including HIV and TB. Hivyo Dr anaweza kutumia majibu ya FBP kukushauri ukafanye kipimo cha HIV ili kuthibitisha.
   
 12. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Full blood picture ni kipimo kinachoonyesha hali ya damu, yaani kama kwenye damu kuna mapungufu/matatizo. Kunapimwa: haemoglobin (HB) level (yaani uwingi wa damu), uwingi wa red blood cells, uwingi wa white blood cells kwa jumla na aina mbalimbali. Kipimo cha HIV hakimo. Ni kipimo cha jumla sana kwa sababu hakilengi ugonjwa wowote. Kama majibu yake hayatakuwa normal, itamaanisha kuwa mgonjwa ana tatizo la kiafya, lkn haitajulikana moja kwa moja ni tatizo gani. Vipimo vingine itabidi vifanywe ili kujua aina ya tatizo/ugonjwa.

  nadhani nimeeleweka, japo kidogo. Ni vigumu sana kufafanua mambo ya medicine kwa lugha ambayo kila mtu ataelewa
   
 13. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Je ni dawa gani unaweza kutumia kuweka kwenye choo chako ili kuzuia infection kwenye choo chako?
  Niliwahi kuona ikiwa imewekwa kwenye choo ni ya rangi ya bluu nikiwa kwenye nyumba flani nilikokuwa nimetembelea ila sijui kama ndiyo yenyewe
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  the boss naona majibu uliyopata yametosheleza. fbp haipimi hiv,nia ni kuangalia hali ya damu na kama kuna chronic infection inamsaidia dr wako kukupa ushauri zaidi
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  chooni unatakiwa kutumia disinfecttant yoyote ile. wakati wa kusafisha ndo muhimu zaidi. japokuwa zipo zile za kutundika kwenye flashing tank au kwente choo (cha kukaa) nazo ni nzuri. jik ni mojawapo ya disinfectant nzuri sana na inang'arisha pia (ina chlorine,inaua vijidudu vyote sugu) japokuwa harufu yake sio nzuri sana. mara nyingi rangi inatumika ya blue ama kijani, japo kuna za pink pia. huo ni utashi tu wa mtengenezaji,zisikubabaishe.
   
 16. TheRedKop

  TheRedKop Member

  #16
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Inakupa indication,kama una ukimwi,inaonyesha..ingawa inabidi ufanye HIV test u comfirm..
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  naona wewe umenielewa na riwa pia
   
 18. F

  FUSO JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  dawa ya ukimwi si ipo hakuna haja ya kubeep kwa kupima full blood picture - ile inampa daktari dalili tu lakini lazima uende vipimo vya ndani. wengi hupima hiyo kabla ili kujiondolea wasiwasi.
   
 19. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  halafu wewe umenifurahisha naona kama umedandia lile daladala la bi kiroboto:biggrin1: you know what i mean " mada" ila hiyo dawa nafikiri ziko za aina tofauti tofauti i.e. Harpic.
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,507
  Trophy Points: 280
  Thank you all.
   
Loading...