Kipimajoto cha Masako kinashusha joto

Kaveli

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
5,120
8,140
Kipimajoto live at ITV, Masako, hizo interference za wapiga simu zinawakata stimu wazungumzaji wa mada husika.

Tenga muda kwaajili ya wazungumzaji tu. Pia kuwe na muda wa kupiga simu wachangiaji wengine.

Mtaalamu anaanza kutema madini, mara ghafla "ngrirrriii ngrirriii ooh ngoja kidogo nipokee simu, haloouu.. eeh unaniskia huko? harroouu".

Mtaalamu anaanza tena kutema madini, mara ghafula "ngrirriiii eeh haloouu halouuu"

Unawachosha panelists na unawapotezea flow ya hoja ktk mazungumzo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom