Kipima joto

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Mmeoana na unapendana na mpenz wako,ila mtu anawasumbua sana kwenye penz lenu ingawa mna msimamo,siku moja ukaenda kuwinda porini,ukamwona swala na ukaamua kumpiga risasi,swala akakwepa,kumbe nyuma ya yule swala kwa mbali kulikuwa na mwindaji mwingine,kwa hiyo swala alipokwepa risasi ikampiga mwindaji mwingine na kufa hapo hapo,duh kwa mbali yule ambaye alikuwa anawavuruga kwenye penzi akatokea,akasema lazima nitasema ulimwua makusudi na mna bifu,bila hivo nifanye mapenz na mpenz wako mara moja tu,halafu we ndo umtongozee yeye mpenz wako,wanafanya mapenz,but kila siku anataka arudie mchezo bila hivo atasema we mdo uliua.....hapo utafanyaje?uende jela ya maisha yako yote au umegewe?
 
Hakuna mbaya nzuri mbaya ni mbaya tu, dawa ni kumtambaliza na yeye pia
 
Mmeoana na unapendana na mpenz wako,ila mtu anawasumbua sana kwenye penz lenu ingawa mna msimamo,siku moja ukaenda kuwinda porini,ukamwona swala na ukaamua kumpiga risasi,swala akakwepa,kumbe nyuma ya yule swala kwa mbali kulikuwa na mwindaji mwingine,kwa hiyo swala alipokwepa risasi ikampiga mwindaji mwingine na kufa hapo hapo,duh kwa mbali yule ambaye alikuwa anawavuruga kwenye penzi akatokea,akasema lazima nitasema ulimwua makusudi na mna bifu,bila hivo nifanye mapenz na mpenz wako mara moja tu,halafu we ndo umtongozee yeye mpenz wako,wanafanya mapenz,but kila siku anataka arudie mchezo bila hivo atasema we mdo uliua.....hapo utafanyaje?uende jela ya maisha yako yote au umegewe?

Yaani mbaya wangu amejileta mwenyewe porini?! Opportunity presenting itself, tena nini sasa. Mapema kabla ya hata hajasema ameona nimeua. atasemea kwa Sir God!
 
Nafikiri majibu yanaridhisha. Au mwenzetu risasi ndo ilikuwa moja?
 
mimekubali mawazo ya wengi ni kuua yeye, lakini je kama ndiyo ilikuwa risasi ya mwisho unafanyeje ile ya kumpiga swala ambayo iliua mtu?
 
Yaliyomkuta marehehemu Chacha .. baada ya kumuona live Balali USA unayajua wewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom