Kipima Joto ITV:UKAWA ni Sons Of Isaack

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Wakuu JF,
Naangalia kipima.joto ITV.
Kuna mtu mmoja kwa kweli amenifanya nipate usingizi mnono sana.
Amesema wana Israel walikaa Utumwani kwa Miaka Sabini,ndani ya Wana wa Israel kulikuwa na kabila dogo sana la watu wachache waliokuwa wanajulikana Sons of Isaack yaan watoto wa Isaka ambao ndio walikuja na suluhu ya kuwatoa wana wa Israel kutoka utumwani Mpaka kwenye nchi ya asali na maziwa, huyu mtu ametufananisha wa Tanzania wana wa Israel na UKAWA kama Sons of Isaack.
Muwe na usiku mwema.
 
Wakuu JF,
Naangalia kipima.joto ITV.
Kuna mtu mmoja kwa kweli amenifanya nipate usingizi mnono sana.
Amesema wana Israel walikaa Utumwani kwa Miaka Sabini,ndani ya Wa Israel kulikuwa na kabila.dogo sana watu wachache waliokuwa wanajulikana Sons of Isaack yaan watoto wa Isaka, huyu mtu ametufananisha wa Tanzania wana wa Israel na UKAWA kama Sons of Isaack.
Muwe na usiku mwema.

Mkuu hukumalizia vizuri, alisema hao watoto wa Isaka ndio waliotambua kwamba wanatakiwa waondoke utumwani waelekee nchi ya ahadi, ndio akawafananisha na UKAWA.
 
Bramo mtoa hoja uliyebandika andiko lako kwa maoni yake kwenye kipindi hiki cha kipima joto amesoma na amecheka sana, ni kweli kabisa tukaze buti.
 
Kwakweli hata mimi nimemsikiliza anaonekana anaroho wa MUNGU, anasema ukweli, amenokosha sana, maneno ya kinywa chake yanatia hamasa na matumaini!
 
Ata mimi apa huyo mchangiaji amenigusa sana na kunibadilisha kifikra. Nakwambia kwanzia leo siibezi tena Ukawa na J.pili lazima nikatoe sadaka.
Mungu ibariki Ukawa, Mungu wabariki na wazindue Watanganyika waliolala.
Nenda katoe sadaka tena kubwa sana ila ipo siku utaijutia hiyo sadaka.
 
Katika maisha yangu nilikua najiambia kila siku mungu wape nguvu vyama vya upinzani viungane! Naiuhakika mungu amesikia kilio changu! Long live ukawa! Mungu awape nguvu muendelee kushikana!
 
Bramo mtoa hoja uliyebandika andiko lako kwa maoni yake kwenye kipindi hiki cha kipima joto amesoma na amecheka sana, ni kweli kabisa tukaze buti.

Kweli Mkuu...jama ni member JF.
Mpe gwala kwa niaba yangu
 
Umeguswa na nini cha ajabu kwenye hili dunia inawatu wa ajabu kweli yani unaguswa na ukawa kweli majanga.

Kwenye ile Safari ya wana wa Israeli Intarahamwr kama nyie pia walikuwako ambao kimsingi waliangamia na Farao kwenye bahari ya Sham.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom