Kipima Joto ITV,Renatus Mkinga ndani.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipima Joto ITV,Renatus Mkinga ndani..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Aug 12, 2011.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wana JF Kipima Joto ITV Live Renatus Mkinga ndani ya Nyumba leo utamu mtupu,wanazungumzia mgomo wa wauza mafuta.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Aisee niko mbali na runinga tujuzeni, Mkinga akiwepo wahusika wanaingia mitini maana wanajua kabsaa itakuwa fedheha kwao!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  E bwana yupo Hans POp(Wauza mafuta),Edwin(Ewura),Mkinga amesema kuna utafiti anafanya akiupata atauweka hewani,KUna baadhi ya shell(Fuel station) zinamilikiwa na wabunge pamoja na mawaziri ndo anafatilia ataweka wazi akikamilisha uchunguzi wake..
   
 4. m

  mchima New Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo jamaa muuza mafuta muongo
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkinga ni SiSiemu Damu Wewe Support Chadema
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Umeona mchima,eti anabisha kwamba hawajawapa masaa 24 serikali..
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hahahaah Kuna lijimamluki linajiita Against Chadema hahahahha kweli njaa mbaya jamani. Hao wauza mafuta wasituletee za kuleta hawaijui peoples power eeenh!
   
 8. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nadhani pipoz pawa ingejitokeza kwenye mgomo wa mafuta. Haitatokea tena!
   
 9. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkinga ni jembe la ukweli,yani yeye anaenda na data,na kwa mtu unaeshabikia Ufisadi basi na wewe ni sehemu ya Ufisadi kama hilo jinga hapo juu linajiita Against Chadema
   
 10. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  kitambulisho cha ccm ni kuwa mwongo/unafiki cha cdm ni kusema ukweli wewe unajulikana
   
 11. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  Mtujuze sisi umeme skuu ya 3 huyo zuzu achana naye
   
 12. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kicheche kikikosa kuku kinakula mijusi.
  F.O!!!
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  wanaopiga simu wanaongea utumbo wanatupotezea uhondo
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Du mbona huyu jamaa wa Ewura amesema atataja bei mpya j3 so tusishangae bei ikapanda tena,kwahyo ametoa tahadhari kwa wananchi wasije wakasema wamesalimu amri kwa wafanyabiashara!!! Kazi kweli kweli............NA KIPINDI NDO KIMEISHA......
   
Loading...