labda wewe ndio uboa ! Ngeleja bana , kumbe unaangalia kipindi hiki. Chukua hatua.
Hongera kwa kuagulia lakini kama unafuatilia yeye anamtetea Ngeleja. Hebu niambie amejibu nini kuhusu huyo mama alikatiwa umeme kwa deni la 25,000?
labda wewe ndio uboa ! Ngeleja bana , kumbe unaangalia kipindi hiki. Chukua hatua.
huenda ! Labda shekhe Yahya angekua hai angetupa utabiri wake.
Hongera kwa kuagulia lakini kama unafuatilia yeye anamtetea Ngeleja. Hebu niambie amejibu nini kuhusu huyo mama alikatiwa umeme kwa deni la 25,000?
Hana chama pengine hataki kuwa Muongo!Jamani huyu Mkinga ni wa chama gani ndani ya nchi? Naombe jibu chap chap kwn nina hoja ya kuchangia ila nasubiria majibu ya WanaJF.
amemshauri akalipe ! Lakini Dr akasema yeye ana Luku yenye balance ya Tsh 25,000 yet anakatiwa umeme kwakosa gani ?
Akasema ! Kukosea ni kawaida yetu akarejea mfano ule wa Maarufu wa Oparesheni ya Muhimbili.
Hana chama pengine hataki kuwa Muongo!
Naanza kumuhisi kama Padri Mtikila!
Mtikila kwani ni Padri?
Naanza kumuhisi kama Padri Mtikila!
Hebu sikia ushauri wa DR! Hiyo ndiyo theme ya kipindi hichi na sio kukitumia kama jukwaa la kujionyesha kuwa una uelewa wa kila kitu!