Kipima joto itv; mjadili kuhusu posho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipima joto itv; mjadili kuhusu posho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Eshacky, Jul 1, 2011.

 1. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Washiri prof. Baregu na kibamba. Tujumuike wakuu.
   
 2. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Baregu;Mpaka sasa posho inazid msharaha wa mwajiriwa
   
 3. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Baregu;kutochangia kikamirifu kwa watumishi, kutokana na kuegemea kifikra juu ya upatikanaj wa posho na si mada husika, mwshowe kukosekana kwa tija kutokana warsha na semina.
   
 4. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kibamba; kuna upotoshi, kwamba kufuta kwa posho zote, huwez futa posho sababu zipo kwny katiba. N upotoshaji
   
 5. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kibamba;posho zinazooogelewa n za kukaa, ambazo labda wa kwanza kupewa ilipaswa wawe madereva.
  wanaotaka posho hz zisifutwe ndio wale wanao sambaza upotoshaji.
   
 6. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kibamba;ana mkosoa pinda, kwa kusema posho n kwa ajili ya kugaiwa wapiga kura. Anasema wabunge n makatibu wetu.
   
 7. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Burega;anasema walipewa posho, katika kutoa maamuz ya migomo ya chakula kwa wanachuo, anasema ilimsikitisha sana.
   
 8. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  tupe habari njema
   
 9. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Wakubwa kuna posho mpaka ya mavazi. Jumla kuna aina kum za posho.
   
 10. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Haina za posho zinatisha kwa wabunge, zipo mpaka za kuwakrimu vyandugoa
   
 11. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kibamba;pesa ambazo zinaenda nje ya mrija wa maendeleo ni nyingi sana. Kiukwel pesa za recurrent anaita za ulaj n nyingi, vitu ambavyo havina msingi kabisa.
   
 12. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kibamba; hali za watu n ngumu, kuna watu wananunua sukar kwa ajili ya kumkorogea mgonjwa tu. Anaongea kwa msisitizo, mawizaran chai imegharimu km bil.10
   
 13. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kibamba; posho zina athiri afya za wabunge mpaka kufikia kukoroma bungeni.
  Shirika lake lilikuwa linakataa baadh ya posho,
   
 14. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Deus Kibamba; matokeo yake kuanda tabaka linaloogeke dimbwi la pesa na fukara. Anasema n wizi.
   
Loading...