Kipima joto ITV LIVE: Mada mgao wa umeme mpaka lini?

huyu mama anasema wanasingizia ukame wakati ukame kenya watu wanakufa njaa kwaajili yaukame lakini umeme upo hakuna mugao inakuwejee kwetu
 
TRA wanakosa mapato toka viwandani,ajira zimepungua viwandani>Mama Simba.
 
Huyu mama anaitetea Serikali juu ya suala hili la umeme wa mgao.Kipindi ni kizuri na huyu jamaa anamwaga data za kutosha.
 
Halafu tunaambiwa uchumi unakuwa kwa asilimia sita sijui, huo Uchumi unakulia gizani?
 
Mkinga>Serikali haijawekeza kwenye umeme kwa muda wa miaka 25,TANESCO imewekwa rehani kubinafsishwa kwa miaka 12 saizi.
 
Mkinga>umeme sio janga la taifa but janga la serikali,kenya wametenga 20% ya bajeti kwa ajili ya kuzalisha umeme wa joto ardhi hapa TZ ni 3% ya bajeti mwaka huu.
 
mkinga amekata umeme sijanga lataifa ameolozesha ukimwi tibi nk ametolea mfano kenya wametenga dora bilion 125 kununua mitambo yakuchimbia visima vyaumeme dora bilioni 30 garama ya uchimbaji ukija kwetu inatia uvivu nizahili kabisa selikali yetu haitaki kutatuwa tatizo wanataka 10 pasenti
 
Nchi ya ajabu sana hii wananchi wenyewe mazezeta sijui wamelishwa limbwata?!!! eti serikali haiogopi wananchi!! wao ndio wanaiogopa serikali wakati ndio wanaiajili!@!! majitu yanakwiba tuuuu kazi hamna...tunachekwa Rais mwenyewe anasema yeye sio mvua eti hicho ndio kichaka chake cha kuficha madhaifu yake!!! aibu amkeni acheni uoga waoga hawakumbukwi!!
 
mgodi wa makaya mawe kiwira ulio telekezwa na mkapa na mkewe uludiswe sitamiko mkinga
 
Mkinga akiingia bungeni its an example hiyo miongozo na taarifa zitakazoombwa sipati picha
 
Back
Top Bottom