Kipima joto cha leo.....

my dear Erickb52, my dearest Bishanga my hazbendi Asprin, my baby loya klorokwini, my hubby buchanan, asali wangu TANMO, my hanni Teamo, my lavu platozoom, Judgement wangu, na wengineo ambao nimewahifadhi kwa sababu maalum........

every woman should have four pets in her life,

  • a mink in her closet
  • a jaguar in her garage
  • a tiger in her bed and;
  • a Jackass Penguin who pays for everything.............

baada ya kusema hayo, napenda kuwajulisha kuwa nawapenda sana..... mkimuona mzee wa mia. mwambieni chakula hakishuki kwa kumwaza yeye.....
Kwa mtaji huu hakika kuna siku seva ya jf tutaivunjavunja maana kuna siku kitawaka hapa.
 
Last edited by a moderator:
  1. N, Nilipoenda kumtembelea na mume wangu, alitwambia atatununulia BMW Z4, but tukakataa sababu tunalo tayari (mi mwenyewe nina misifa misifa ya kihaya hapa)
  2. H (Linapanda nimgongeapo like)
  3. S ila inawezekana
  4. H, kachanga damu ya mchina na mmasai
  5. S
  6. S
  7. H, hajauchuna, anatumia mchina
  8. H. Msinichonganishe na King'asti
  9. H, sio kwamba hataki. kuna tofauti kati ya kutaka na kuweza.
  10. S, ngoja nimuulize AshaDii

mmh! we mkaliii
 
Last edited by a moderator:
Hehehe mie nimepita kuwasalimu tu na ujumbe wangu ni kwamba

"msinitafuteeee mwenzenu niko bizeeee, msinitafute mwenzenu niko bizeeee"

Mzembe nakamilisha makabrasha ya mwisho mwisho nilambe share yangu Zimbwabwe Airlines.
Erotica na sweetlady anzeni kufanya mazoezi ya kutumia pafyumu za kifahari.

Kwaherini. Akiniulizia mzembe yoyote mwambieni nimeigomea JF kuunga mkono kuhama kwa Husninyo.

DJ weka wimbo wa taifa
 
Last edited by a moderator:
Heheheeee umbea tu Remmy
We yanakuhusu nini?
Lol hata wewe na mimi ni kweli eeeh?
Hahahaaa nimuulize PJ?
BTW
Mzima wewe?


Hahahaaaaa....yote hii ni wivu tu ulionao.....
Ila ni kweli mi NAKUPENDA sana tu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom