Kipima Joto cha ITV

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,461
2,288
ITV, Ijumaa
6/23/2002

Je, makandarasi wanaochelewesha ukamilishaji wa miradi ya maji wachukuliwe hatua kwa uzembe?


###############################################

Kwa vyombo vya habari kama hivi utasema hujui kwa nini Waafrika bado tuko kwenye ujima?


 
Kipima joto wanauliza swali la kijinga Sana, sasa ushasema wakandarasi wazembe na wanachelewesha kukamilika kwa miradi halafu unauliza je wachukuliwe hatua, huu ni upuuzi wa vyombo vyetu vya habari, sijui nani atakaejibu kwamba wasichukuluwe hatua. Je unampenda mke wako? Jibu ndio au hapana.
 
Back
Top Bottom