Kipima choto ITV: Demekrasia Afrika

Mmoja wa wachangiaji Dr Mateso, anasema Africa wanaishi kama kuku wa kienyeji
 
Nakubaliana na msemaji kijana anayesema kuwa umoja wa Africa umekaliwa na MATAPELI ya kiwemo majizi ya kura ka Kibaki, yale yaliyoingia kwa mapinduzi na yakapewa majukumu AU mfano Ghadaffi, Mseven, Nguema, Kagame.....

Hii mijamaa imejifanya inabadilisha sheria AU kuwa inatawala mpaka kufa na ipigweeeee.....
 
Dr Mateso anasema Duniani kuna Madikteta 50, Madikteta 20, wanatoka Africa
 
Manchele anasema viongozi wa Africa wajifunze toka kwa Ghadaffi. Anasema anasema hakuna cha bure. Msemaji mwingine, Dr. ameseama mtoto lazima umkemee.
 
Mchangiaji kwa njia ya simu anasema viongozi wajifunze hasa kwa Egypt, HOSINI ambao wamekipata cha moto.
 
Kuna mchangiaji mmoja anasema wafrica tusijandanganye kuwa Wazungu watatusaidia bure.
Katoa mfano Wazungu walivyokuwa wanafiki kwenye suala la Libya. Anasema Mwaka 2003, Libya walichukuwa kiti cha Baraza la umoja wa mataifa la haki za binadamu, leo wamemgeuka sababu ya maslahi
 
Kama kweli umoja wa Mataifa unafuata haki kwa nini mabomu walioyapiga Libya, wasiyapige, Yemeni, Syria, Dafur
 
Back
Top Bottom