Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
kuna thread nimesoma humu bwana ikanikumbusha maisha ya nyuma
kidogo
nilikuwa na mahusiano na jamaa mmoja dah huyu jamaa alikuwa ananipenda kweli kusema kweli ,ila tatizo lake ni kipigo
alishanipa mkongoto wa haja kama mara tatu hivi
alinipa kipigo jamani siku moja kidogo nife nikaona cha kujifia
yaani nilipigwa siku hiyo duh nikamwambia mother nimeanguka kwenye mti wa parachichi ilikuwa maafa
tatizo ilikuwa ni simu tu jamani kiukweli nilikuwa nachat chati na mwanaume mwingine ila alikuwa sio mpenzi wangu.jamaa alikuwa anamind simu yangu sijui vile aliinunua...nilichezea vichapo sio kidogo.
at last nikamkimbia
ila nimenotice mwanaume /mke anaekupiga ana upendo wa kweli hawezi kuishi bila wewe so anatumia any defenceve mechanism kukukeep!
sio mtu kakupigia tu hujapokea simu anakupiga chini..kwani mimi operator wa simu kila saa nipokee simu
au wrong sms umeikuta kwenye simu ya mpenzi au mke unamuacha sio fair bwana fight for your love !