Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Je,watu hawa wa kutetea haki za binadamu wamejitokeza kutoa kauli yoyote kuhusu kupigwa kwa walemavu?
mkuu, lakini jf sio kama line ya simu kuwa sms zikijaa hazifiki. ndio maana nawe post yako tumeiona.aah we kila muda unapost tuu! achia na wenzio wapost bana, hadi unachosha! hauna kazi za kufanya huko ulipo?? hii ilikuwa na umuhimu gan wa kuanzisha post wakat ishajadiliwa sana kwenye post zilizopita, kwa nn usingeenda kuchangia Kule??