Kipigo cha Walemavu:Watetezi wa haki za binadamu wametoa tamko

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Je,watu hawa wa kutetea haki za binadamu wamejitokeza kutoa kauli yoyote kuhusu kupigwa kwa walemavu?
 
aah we kila muda unapost tuu! achia na wenzio wapost bana, hadi unachosha! hauna kazi za kufanya huko ulipo?? hii ilikuwa na umuhimu gan wa kuanzisha post wakat ishajadiliwa sana kwenye post zilizopita, kwa nn usingeenda kuchangia Kule??
 
Siku hizi kituo hiki kinazungumzia mikataba ya madini wamesahau majukumuu yao ya Human Right
 
aah we kila muda unapost tuu! achia na wenzio wapost bana, hadi unachosha! hauna kazi za kufanya huko ulipo?? hii ilikuwa na umuhimu gan wa kuanzisha post wakat ishajadiliwa sana kwenye post zilizopita, kwa nn usingeenda kuchangia Kule??
mkuu, lakini jf sio kama line ya simu kuwa sms zikijaa hazifiki. ndio maana nawe post yako tumeiona.
ukiona post yake huipendi unaweza tu kuuchuna.
 
Back
Top Bottom