Elections 2010 Kipigo cha CCM ni matokeo ya kulipa fadhira kwa JK, kaua chama Mkwere

ccm & jk (small letters) wanaelekea kuangamia. Wanajua hilo isipokuwa hawawez kukir hadharan. Ishallah ya yote haya ni matokeo ya uchaguz ambao wanahaha kuchakachua. Yo end is near & itakuwa mbaya. Tusubir
 
...lakini na vyama vya upinzani visipoungana kamwe hawataweza kuing'oa ccm madarakani. Hebu angalia matokeo ya tarime!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom