Elections 2010 Kipigo cha CCM ni matokeo ya kulipa fadhira kwa JK, kaua chama Mkwere

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
Haya ni matokeo ya Kikwete kuleta urafiki na nani alinisaidia wapi. Nawasihi viongozi wa CCM achaneni na huyu jamaa ameshaua chama jipangeni, na sasa kuna vilaza wake ambao wanalia apate iti ili awahurumie, serikali ya kuhurumiana mpaka lini???? watu sasa hivi wamejitosa wengi kwenda kumpigia kampeni na bado kashindwa ili wapewe ukuu wa wilaya. ni ushauri wa bure kwa mnaopenda nchi.
Mwisho wenu umefika naomba Mungu awape maisha marefu ili cha moto mkione.
 
Nafikiri ni muhimu kufahamu kuwa uvumilivu siku zote una kikomo chake...watu wanabadilika na sasa wanafahamu mengi kuliko kabla...siyo suala la kuwachukulia watu kama walivyokuwa miaka 30 iliyopita..CCM should prepare for changes.
 
Na hakuna kitachobadilika kutoka sasa...vita mbele...tutahakikisha bendera ya ccm inakuwa ya upinzani daima!
 
MEDIA nyingi bongo zimempigia KAMPENI weak JK,lakini bado anapumulia mipira.too bad. CHADEMA say it......x3:smile-big:
 
Na hakuna kitachobadilika kutoka sasa...vita mbele...tutahakikisha bendera ya ccm inakuwa ya upinzani daima!
CCM hawawezi upinzani, si wapambanaji, hwawezi kubaki ccm, walizoe kubebwa na dola, wao wenyewe hawezi kusimama. CCM inafuata nyayo za UNIP na KANU.
 
CCM iko ICU na aliyeiua ni mkwere.

Mwalimu Nyerere aliwambia viongozi wa CCM(1995)" Kuwa vyama hivi vya upinzani bado ni vichanga lakini msivipuuze kabisa na mjifunze jinsi ya kuitawala nchi katika mfumo wa vyama vingi huko mwendako"

Sasa wao walipo ingia IKULU walipuuza sana wazee waliokuwepo madarakani na kuwa kashifu sana wakina Butiku ,Warioba sasa imekula kwao wana mtandao EL,RA hamkujua nchi inabadilika na wananchi wanaitaji maendeleo. Na mjue nini maana ya vyama vingi Mwl.Nyerere aliwambia hamkumsikia majifanya vidume mumeitia aibu CCM kabisaaaa na Kuanguka kwa CCM ni uongozi mbovu sana usiokuwa na Dira hata kidogo , UVCCM sasa kazi kwenu.
 
CCM wanachelewesha matokeo ili vurugu zitokee ila wachakachue matokeo
Mpaka sasa Mwanza nako hakuja tolewa matokeo (Ilemela na Nyamagana)
 
mbona anamtetea sana Masha au ndie basha wake? maana mla huliwa (alisema mwenyewe)
 
Nawashangaa sana mno shangaa matokeo ya uchaguzi huu, je mnakumbuka marehemu kolimba alisemaje? Ccm imepoteza dira! Badala yakujifunza kwake wakaona ni kheri wamuo........!
 
Naona ccm itadumu hata kwa dua la mwewe halimpati. Nakumbuka mwanzo mwa kampeni wengi waliomba ccm ishindwe naomba waombe msamaha pamoja na kashfa vituko na kadhalika bado mmeshindwa. Nawasihi na mjipange upya ccm itashinda kwa asilimia zaidi ya 80 ndg zanguni. Mchezo wa siasa hawauwezi kwani ukianza dhambi ya ukabila, udini na hata ukanda utakutafuna wewe. Ebu angalia ccm anavyotesa sehemu zote zinazodaiwa kufunikwa na chadema(slaa)! We acha tu ata ukizungusha helkopta saa moja angani bado unapigwa tu. Wagombea waloshindwa wa chandema wako hoi hospitalini hata kusaini wameghaili lakini yote ni yote tunawapa kisago cha uhakika.
 
Haya ni matokeo ya Kikwete kuleta urafiki na nani alinisaidia wapi. Nawasihi viongozi wa CCM achaneni na huyu jamaa ameshaua chama jipangeni, na sasa kuna vilaza wake ambao wanalia apate iti ili awahurumie, serikali ya kuhurumiana mpaka lini???? watu sasa hivi wamejitosa wengi kwenda kumpigia kampeni na bado kashindwa ili wapewe ukuu wa wilaya. ni ushauri wa bure kwa mnaopenda nchi.
Mwisho wenu umefika naomba Mungu awape maisha marefu ili cha moto mkione.

eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh

Habari ndi iyooooooooooooooooooooooooo!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom