Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

Wanajamvi habari za mda huu , kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.

Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimulazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
Suluhisho ni kumpandisha Cheo tu! Awe Mke mkubwa! Unamleta mke mdogo amsaidie kazi iliyomshinda!

Na hii tabia inakomaa sana pindi akiwa na mtoto yaani anajisahau kabisa majukum yake anajiweka busy na mtoto!
 
Wanajamvi habari za mda huu , kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.

Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimulazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
Mkuu ingia kwenye Badoo utakula kuanzia wamama, wadada na watu wazima 40+
 
Wanaume tumebaki wachache sana aise. Yaani mi ndio mwanaume alafu mwanamke alete mambo ya kisoro hivi. Nadhani utakua hutokei Arusha ndugu
 
Kabisa kutakuwa na sababu tu:-

1.Labda alimuuzi(Sumu ya maoenzi ni mauzi)
2.Anaumwa (Anajisikia vibaya ,hana mzuka etc)
3.Yupo kwenye mshahara wa mwisho wa mwezi

Kama hakuna sababu kama hizo lazima arudi kwao akapumzike.
Sasa wewe ndiyo umesema
..naomba nikazie kwenye maudhi hapo.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom