Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

Wanajamvi habari za mda huu , kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.

Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimulazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
Dawa ya mke ni mwanamke mwenzie.

Unajilia huko nje unatosheka, ukirudi home unakuwa friendly tuu, ila kwa mambo ya unyumba unauchuna kabisaaa
 
Tafuta likizo moja mtoke on a vacation, muende hotel flan, mtembelee vivutio vya utalii, show love, msifie alivyo mzuri katika a billions of women, usiku mwenyewe ataachia mapaja, gonga show ya kibabe kama ile ya first time mlikutana,

Mkirudi kwenye vacation yenu, penzi lenu jipyaaaaaaa,

PS: sehemu moja kila siku inachosha.

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Hili ni kwa upande wenu wafilipino.

Kwa waswahili kama sisi unatushaurije?
 
Back
Top Bottom