Fukuza arudi kwao.Wanajamvi habari za mda huu , kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.
Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimulazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
Umeoa?Mkeo atakunyimaje k asee?
NdioUmeoa?
Ndoa yako ina zaidi ya miaka 10?Ndio
Dawa ya mke ni mwanamke mwenzie.Wanajamvi habari za mda huu , kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.
Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimulazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
KE ndo wanasababisha kama kwa hiki kisa cha mleta madaWanaume na michepuko😀
Hii ni sababu tosha kuvunja ndoa. Watu hawajui hilo.Wanajamvi habari za mda huu , kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.
Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, Tena ukimuomba no Vita sio Vita ya kitoto na ukimulazimisha Sana utaona anapiga kelele Kama vile anabakwa.
Tukinyimwa nyumbani njia mbadala ndio hiyoWanaume na michepuko😀
Hili ni kwa upande wenu wafilipino.Tafuta likizo moja mtoke on a vacation, muende hotel flan, mtembelee vivutio vya utalii, show love, msifie alivyo mzuri katika a billions of women, usiku mwenyewe ataachia mapaja, gonga show ya kibabe kama ile ya first time mlikutana,
Mkirudi kwenye vacation yenu, penzi lenu jipyaaaaaaa,
PS: sehemu moja kila siku inachosha.
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app