Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

Ukiona mke ananuna hatoi mzigo ujue ameshajua una mahusiano nje. Hiko kitu kinatoa stimu aiseee hata kama ulikua tayari ukikumbuka kwamba kuna mtu mwingine anakula hela za hubby K inakauka kauu.
 
Wanajamvi habari za mda huu, kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.

Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, tena ukimuomba ni vita sio vita ya kitoto na ukimlazimisha sana utaona anapiga kelele kama vile anabakwa.
Awali ya yote, umekosea kuoa.
 
wanawake mpunguze ubinafsi kidogo Zesh.
Kuna mdogo wako alibembelezwa for three days bado kanuna tu,alipojaribu kushikwa kajitoa kwa nguvu kamjeruhi jamaa mkono vizuri tu na chupa iliopasuka.Jamaa akaamua kukaa kimya na kutouliza chochote hata chakula(maana siku ya pili toka ugomvi alipofika home alikuta hakujapikwa kaenda kununua msosi wake na mkewe)now akirudi anakua kala mtaani na kambebea na yeye,anadai anasalimia tu na kuingia kulala.ananunua nguo tu anaweka kwenye buti anavaa lodge dada kaja home kushtaki,jamaa anasema yeye hana shida na mkewe na wako poa tu.Hii ndoa sidhani kama ipo tena maana jamaa anasema hana hisia tena na dada kama mke so dada aamue.
Wanawake wengi kabla ya ndoa,wanakataa kufundwa wakidhania kama wao n wakubwa pia .mwishowe ndio wanaongoza kuvunja ndoa zao.
 
Dah pole kuna kipindi wife alishaanza hizo baada ya siku moja alijichanganya akanijibu shiti alichezea kofi za maana akaona isiwe tabu ngoja aanze mgomo baridi.

Mimi nikasema poa tu, sibembelezi mtu, back days kuna binti nilikuwa nampenda sana, naye wife anamjua, wife alishakuta mawasiano na sms kwa simu yangu, pia siku moja tukiwa kwenye harusi fulani, huyo binti tulikuwa naye kwenye kamati moja ya vinywaji so kuna wakati tulikuwa tunaongea, kwakuwa huyu binti alikuwa amevaa viatu virefu alikuwa anakosa balace ya kusimama kwasababu ya kusimama muda mrefu unajua tena wadada akawaanishika bega kila wakati , duh kumbe wife alimuona kilichotokea hapo kifupi tuliacha sherehe tukaondoka, ila tulikuja kuyaongea tukayamaliza.

Nije kwenye point baada ya kuona mgomo inaendelea nikawa kila siku narudi nipo maji haswa na nakuwa na huyo binti wakati mwingine just for a drinks na story.

Siku moja nikatengeneza mchezo mara kadhaa huwa naota mpaka naongea siku hiyo nikaanza kumtaja huyo binti kwa sauti namwambia Deby i love so much, ur so qute baby hivyo yaani, huku namkumbatia wife kwa hisia....nilisikia wife anaguna mhhhh fluni unasemaje?nikakaa kimya kama sijamsikia vile.

Kesho yake mchana aliniandikia sms anaomba tuonane lunch kwa nusu saa anamaongezini nikamwambia sawa tukakutana aliniambia kwa unyonge sana, jua mimi ni mkeo nipe thamani yangu, naona umeamua kuanza tena mahusiano na Deby ndiyo maana unachelewa kurudi.

Nikamwambi nope umejuaje, wewe ni mke wangu siwezi kufanya hivyo pamoja na umeweka mgomo baridi siku mbili lakini siwezi katu kukusaliti, siku nikikusaliti ujue hutaniona week nzima.

kifupi alijutia kosa lake tukayamaliza yakaisha maisha yakaendelea.
Hii comment nasikia imeokoa mtu kule.
 
Kama mna tofauti Jitahidi kuzitatua kwanza, kisha mfanye akuone kama vile ndo unamtongoza tongoza, maneno matam , ukitoka mletee vizawadi, ukifika home mkute mkiss, yote ili arudishe hisia zake kwako.... Ukikaa nae cheza nae kama mtoto, mshike taratibu hapa na pale.... Sio jiwe huyo ana hisia zitakuja atakuhitaji tu......... Sasa huo mwendo uwe kila mara ukitoka mtext msifie mwambie jinsi gani unafurahia mnavopeana mambo, mwambie unatamani kila siku awe anakupa...... Hehehehe bwana we kwa ufupi ni hivyo na vingine vingi nshachoka kuandika.

Yani wanawake akili zenu bhana!!
..... Kwanza mwanamme mwenye majukumu anatoa wapi huo mda , hiyo k anayo yeye peke yake
 
Unanyimwaje uc**hi na mke Mimi hata nisingeuliza ushauri huku jamvini,Mimi hata demu wangu tu akipiga chenga kuliwa siku hiyo inakuwa ndio mwisho wake sitaki mazoea tena akiniletea za kuleta namuambia hiyo pussy akawape wanaotaka.Juzi kati nimetoka kumuacha demu mmoja ni miezi miwili sasa haamini kama tumeachana,nilitaka kumsugua nikamuambia mapema kuwa jioni aje geto jioni ilipofika kama saa 10 hivi ikaanza mvua flani hivi kubwa ilinyesha ikakata kidogo ikarudi demu akafanya ni kigezo cha kutokuja kusuguliwa,nilimuuliza hii mvua ikiendelea kesho asubuhi utaenda kazini huendi akajibu ataenda tu hata inyeshe kutwa nzima,nikaona huyu ameona hako kautelezi ni keki sana nikapotezea nikavaa sweta nikaingia zangu kimboka nikala pussy mbili nikarudi nimechangamka nikaoga nikalala.Na Mimi na yule mwanamke ndio ikawa mchezo umeishia happy hivi tunakuwa na wanawake wa kazi gani zaidi ya tendo?
 
Katafute mchepuko yakukute ya babu mwitore.

Huwezi nyimwa unyumba bila sababu. Kaongee na mkeo vyema.

Either mgonjwa, depressed ama kuna mambo unamfanyia si sawa. Kaomgee nae poa. Michepuko itakugharimu
hivi Babu mwitore yupo shoga angu au mchepuko ulisha mpa pressure mpaka akafa.@Mwitore
 
Andaa mazingira ya kufanya akuhitaji wewe kimwili kabla hujamuhitaji wewe.... Wanaume mnafeli sana mkioa mnataka mfanye lile jambo kama kuku....
Hlf kingine, unajua nyie wanawake mshajua kuwa sisi wanaume tunapenda sana ngono, kwahiyo sometimes mnavotunyima uchi, mnafanya hivyo ili kutukomoa makusudi muone tunafanyaje, au kutu-manipulate ili tuwafaidishe kitu flani , na sio kwamba tunakua tumewawaudhi au kushindwa kuwaandaa au hamko tayari, kwani cwajui ninyi Zesh Yna2 Karma
 
Wanajamvi habari za mda huu, kumekuwa na ongezeko kubwa la migogoro ya ndoa inayosababishwa na unyumba.

Je kipi unatakiwa kufanya endapo mkeo akikunyima unyumba, tena ukimuomba ni vita sio vita ya kitoto na ukimlazimisha sana utaona anapiga kelele kama vile anabakwa.
 
Back
Top Bottom