Kipi ni sahihi?

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Kuna wanaodai mabadiliko yaliyotokea kwenye uchaguzi uliopita ni matokeo ya ccm kuteleza kwenye kura ya maoni,Wengine wanadai ni matokeo ya watanzania a.k.a Watanganyika kukichoka chama hicho.Wengine wanadai nimatokeo ya mwamko wa Watanzania kutaka maendeleo,je wewe unadhani kipi ni sahihi,coz majibu ya hapo yatatoa mwelekeo wa uchaguzi wa 2015,tafakari
 
uMENIUZI HUJAONGEA KUBWA:
CCM KUWA CHAMA CHA KIFISADI NA RUSHWA KUONGEZEKA HILO TUUUUU!
 
Kuna wanaodai mabadiliko yaliyotokea kwenye uchaguzi uliopita ni

(A) Matokeo ya ccm kuteleza kwenye kura ya maoni,Wengine wanadai ni
(B) Matokeo ya watanzania a.k.a Watanganyika kukichoka chama hicho.Wengine wanadai ni
(C) Matokeo ya mwamko wa Watanzania kutaka maendeleo,
(D) All of the Above
Je wewe unadhani kipi ni sahihi,coz majibu ya hapo yatatoa mwelekeo wa uchaguzi wa 2015,tafakari

The Correct Answer is (D)
 
Kuna wanaodai mabadiliko yaliyotokea kwenye uchaguzi uliopita ni matokeo ya ccm kuteleza kwenye kura ya maoni,Wengine wanadai ni matokeo ya watanzania a.k.a Watanganyika kukichoka chama hicho.Wengine wanadai nimatokeo ya mwamko wa Watanzania kutaka maendeleo,je wewe unadhani kipi ni sahihi,coz majibu ya hapo yatatoa mwelekeo wa uchaguzi wa 2015,tafakari

Majibu ni mengi zaidi ya hayo uliyotaja, lakini CCM kutereza kwenye kura za maoni sio jibu sahihi, kuna reference kibao hapa. Zaidi wanachi wamechoka na chama cha kifisadi, cha mafisadi, kincholea mafisadi, kinachokumbatia mafisadi, kinachoogopa mafisadi, kinachoendeshwa na mafisadi, kinachombembeleza mafisadi...............mwingine aendelee hapa
 
uongozi mbovu wa baba yake na Ridhiwani,pamoja na mawaziri wake ambao pia wengine ni wajomba zenu,shemeji zenu,baba zenu,kaka zenu na babu zenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom