- Thread starter
- #21
NotedDIT labda tough maana wanaoenda pale vichwa maji,cut off points zao ni low!
NotedDIT labda tough maana wanaoenda pale vichwa maji,cut off points zao ni low!
Hivi kati ya vyuo tajwa hapo juu kipi kinanoa vizuri wanafunzi kinadharia na vitendo katika kozi za engineering?,hasa Electrical engineering.
Hivi kati ya vyuo tajwa hapo juu kipi kinanoa vizuri wanafunzi kinadharia na vitendo katika kozi za engineering?,hasa Electrical engineering.
Engineering siyo kama chooni ambako kila mtu anaweza kuingia. Ila kama unaweza nenda UDSM ambako utaandaliwa kwa level ya kimataifa.
uhandisi siyo ufundi mchundo au ufundi sadifuMbona hatusikii wanafunzi Wa UDSM wajifanya vitu vya maana mtaan? Angalau DIT kazi yao inaonekana
NtakucheckMwambie aje DIT, ila ajiandae kupiga msuli kweli kweli, mimi napiga electrical tukienda kufungua naingia mwaka wa pili,
Kama ni dogo anaejielewa niconnect nae, nimpe mbinu za pale maana mwaka wa kwanza unasumbua sana mambo yanakuwa mengi, yanachanganya kabla hajakaa vizuri test one izo hapa kabla haujajiweka sawa test twoo nazo izo, kabla mtu hajapumua UE inaanza,
Si ajabu kutoka na sup 5 kati ya module 10, mtu hapo ndo anaanza kukichukia chuo na kuona mambo ni magumu,
Ila ukiwa na mtu wa kukuelekeza mambo yanavyokua mapema unapita kirahisi sana.
Electrical ni DIT ila civil Ni Udsm.hiyo MUST bado haijaimarikaHivi kati ya vyuo tajwa hapo juu kipi kinanoa vizuri wanafunzi kinadharia na vitendo katika kozi za engineering?,hasa Electrical engineering.
Kwa nini?..kipi ni bora kwako?Nacheka sana hawa madogo wanavyodanganyana. Eti DIT
Mwalimu nyerereKwa nini?..kipi ni bora kwako?
Mwambie aje DIT, ila ajiandae kupiga msuli kweli kweli, mimi napiga electrical tukienda kufungua naingia mwaka wa pili,
Kama ni dogo anaejielewa niconnect nae, nimpe mbinu za pale maana mwaka wa kwanza unasumbua sana mambo yanakuwa mengi, yanachanganya kabla hajakaa vizuri test one izo hapa kabla haujajiweka sawa test twoo nazo izo, kabla mtu hajapumua UE inaanza,
Si ajabu kutoka na sup 5 kati ya module 10, mtu hapo ndo anaanza kukichukia chuo na kuona mambo ni magumu,
Ila ukiwa na mtu wa kukuelekeza mambo yanavyokua mapema unapita kirahisi sana.
NIT kuna electrical engineering?Pia NIT karibu mkuu