comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Wana jamvi
Nimechanganya kusikia anaitwa kwa majina kwa vyeo tofauti
Moja aliitwa na Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Paul Makonda akimuita Kamishna Mkuu
Kingine nimesikia Kamishna jenerali na kingine nilisikia wakimuita Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na Madawa ya kulevya cheo hicho aliitwa na yule dada wa Kigamboni sasa mi inanichanganya sasa kipi ndio jina sahihi la cheo chake huyo Mkuu? Nijuzeni wajuvi