hamic mussa
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 227
- 19
kipi ni bora kati ya kumpata mtu ANAYEKUPENDA lakini HUMPENDI au UNAEMPENDA lakini HAKUPENDI?
Hakuna bora hapo, maana mwisho wa siku utaishia kuwa shabiki wa shetani kwa kupenda uzinzi.
Mimi napenda wale wanao nipenda :biggrin:
Wapendeni adui zenu
Mtoa mada rudi kajipange upya. ni makosa sana kulazimisha upendo yaani iwe ni kulazimisha upendwe au kulazimisha upende. so mimi nakushauri hapa hakuna bora. Bora ni kupendana wote.
Kazi ndogo sana mwanamke anaye kupenda ni vyepesi sana kumsoma, mana wao wakisha penda wanajonyesha kabisa kwa vitendo :biggrin:utajuaje km wanakupenda kweli?
hakuna bora hapo bora kumpata mnayependana hayo ndio mapenzi.
Rejea maandiko
Wanaume= wapendeni wake zenu kwa akili
Wanawake=watiini waume zenu
Mwanaume ndo anapaswa kupenda, mwanamke kazi yake ni ku-respond kwa upendo anaoonyeshwa. Kwa hiyo kama ww ni mwanamke angalia unapovutwa but trust me akitokea mwenye juhudi zaidi huyo utamuacha salander bridge. Ila kama ww ni mwanaume ni wajibu wako kutengeneza mazingira ya kupendeka.
Hivi unafikiri angeumbwa mwanamke kwanza halafu ndo akafuatia mwnaume ingekuwaje?
kipi ni bora kati ya kumpata mtu ANAYEKUPENDA lakini HUMPENDI au UNAEMPENDA lakini HAKUPENDI?