MwanazuoniMJ
Member
- Nov 28, 2012
- 67
- 30
Option ipi ni rahc na marketable kati ya kwenda a level au kwenda college?,waungwana nisaidieni.
Option ipi ni rahc na marketable kati ya kwenda a level au kwenda college?,waungwana nisaidieni.
uongo mtupunataka nikuhakikishie collage ni bora kuliko a-level hasa vyuo vya technical na hawachukui vilaza ukitoka hapo wewe sio wa kawaida ni fully utaalamu wengi vyuoni wanaenda kukalili ni hakuna ujuzi asikudanganye mtu technical ni noma ukimaliza dip ukasoma na beng hakuna mtu ataguza hapo
ha ha ha habora ni kukaa njumbani 2
dogo, hizo technical college(DIT, MIST & ATC) hata syllabus hawana, wanatumia syl. za urusi za 1970's usiende mwaya.
dogo, hizo technical college(DIT, MIST & ATC) hata syllabus hawana, wanatumia syl. za urusi za 1970's usiende mwaya.
Kijana, kama utakuwa unajiweza kwenye masomo ya sayansi vizuri, mimi nashauri nivizuri tena sana ukajiunga na chuo, hapo itakuwezesha wewe kujiandaa vizuri katika maisha yako yausoni, asikudanganye mtu A-level sawa ni nzuri lakini chuo nibora zaidi kwani ukimaliza kule ukafaulu unaendelea kwenye kuisaka degree yako na nirahisi ukiwa Sirius, lakini A-level ikitokea hukufanya vyema itakula kwako na utakuwa huna thamani tofauti na ambaye hakufanya vyema chuoni! :juggle:
Ha ha ha ha Mkuu naona unataka kijana awe anakusanya kopo za maji.bora ni kukaa njumbani 2
mkuu kama ulishindwas wewe A level basi msaidie mwenzako na sio kumdanganya ili aende kusoma syllabus za urusi za mwaka 1970 huko college.