Kipi ni afadhali kati ya mwanafunzi na mke wa mtu!

Bry N

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
701
767
Kumpa mwanafunzi ujauzito na kutembea na mke kipi ni afadhali...! wakuu maana kuna jamaa alitembea na mke wa mtu walimfyeka mkono (story kutoka kijiweni) na kuna co worker mwenzangu kampa mwanafunzi mimba wa form 3 mpaka leo hajulikani alipo..?

Which is which wakuu...?
 
Nzuri nyapala
Barua yako nili ipata, ahsante
IMG_20191118_155319_906.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom