Kipi kizuri?

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Ilifika siku ya kusafiri kwenda safari ya mbali kidogo ambapo gari hulazimika kuondoka alfajiri sana....! Ni kwa sababu hiyo nililazimika kuondoka nyumbani jioni nikalale guest karibu na kituo cha kupandia basi lile...! Kwa bahati mbaya nilichelewa kidogo, na hatimaye nikalazimika kulala pasipo na utulivu murua...! Ilipofikia takribani saa tatu za usiku, ukimya ulitawala kwa muda, ambapo niliweza kujipumzisha na kupata kausingizi mtamu kidogo...! Lakini kama saa nne na nusu hivi, nilishutushwa na kelele za chinichini zilizokuwa zikisikika kutoka chumba cha jirani yangu, na ambayo imekuwa ikiongezeka kwa kiwango fulani mithili ya kama vili umbali unapungua....! Sauti hii ilikuwa ni ya mtu mmoja tu, na wa jinsia tofauti na ya kwangu...(yaani wa kike)...! Pamoja na kelele zote hizo, nilipata kusikia vizuri maneno mawili yanayoingiliana mithili ya ukinyume wa kila mmoja...! Mlalamikaji amekuwa akitaja maneno kadhaa, lakini amekuwa akiniacha hoi pale aliposema; Chomeka...., Chomoa...! Chomeka...., Chomoa....! na kuendelea...! Nilitamanni nimuone asubuhi nimuulize maana ya maneno hayo, lakini sikufanikiwa kutokana na safari yangu ya asubuhi na mapema....! Sasa, leo nauliza kwa wenye kuelewa....! Kipi kizuri; Kuchomeka, au Kuchomoa?
Nawasilisha...!
 
Vyote sawa kuchomeka na kuchomoa maana vinategemeana, mfano mzuri ni kama kukata mbao kwa kutumia MSUMENO wa mkono.
 
Ungeacha ki-note kwa mwenye guest wakirudia tena awaulize then safari ijayo upate jibu.
 
Umeoa? Kama sio naamini utakua na gf... hebu usisahau kumuuliza pia ili uboreshe ndani kwako pia...........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom