Kipi Kipaombele chako ktk Malengo Endelevu ya Maendeleo ya UN(UN-SDGs)

Singidan

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
880
937
Kwa mimi nimeyatumia malengo hayo 17 na ku adopt baadh na nimederive innovative ideas for my 2017+ projects to start to implement. Lengo namba 9 ndiyo kipaombele kwakuwa nimechunguza fursa nategemea kuanza uwekezaji ktk KIWANDA NA MOBILE TECHNOLOGY.
 
Hivi yanatekelezwa na mtu mmoja mmoja au nchi wanachama wa UN ndo watekelezaji wakubwa wa hayo malengo?
 
Hivi yanatekelezwa na mtu mmoja mmoja au nchi wanachama wa UN ndo watekelezaji wakubwa wa hayo malengo?
Hayo yanaweza kutekelezwa na watu au m2 yeyote kwani sawa na wamekupa ideas tu. Mfano, ktb lengo no 4.education, so ubuni wazo litakaloboresha elimu ambalo litakuw business wakt huo linaboresha elimu.
 
Back
Top Bottom