Kipi kinauma sana kati ya kuachwa na kusalitiwa?

Kusalitiwa na kuachwa huenda sambamba Ni Mara chache Sana uachwe na uwe hujasalitiwa japo unaweza usijue Kama ulisalitiwa ndo ukaachwa coz Mara chache mtu anaaacha bila replacements
 
Niaje, I hope mpo Gud.

Twende kwenye mada kipi kinauma sana endapo utagundua mpenzi wako anakusaliti na alikua anakuonyesha mapenzi kama kawaida au Mpenzi wako ghafla tu anakwambia sikutaki tuachane nimeshapata mwingine.

Kwa mimi naona kusalitiwa wadau.
Kuachwa ni mojawapo ya usaliti
 
Kuachwa na kusalitiwa ni kitu kimoja chenye sequence tofauti ya matukio. Kusalitiwa unasalitiwa kwanza then ndo unaachwa alafu kuachwa unapewa taarifa ya kuachwa then ndo unasalitiwa.
 
Bora uachwe maana msaliti anaweza kkuletea Ukimwi au ukalea damu ya mmang'ati akati wewe ni msukuma.!
 
Kuachwa na kusalitiwa ni kitu kimoja chenye sequence tofauti ya matukio. Kusalitiwa unasalitiwa kwanza then ndo unaachwa alafu kuachwa unapewa taarifa ya kuachwa then ndo unasalitiwa.
Haha 😂 nimeelewa nlikuwa nina mkanganyiko na izo sentence mbili.
 
Back
Top Bottom