Kipi kinauma sana kati ya kuachwa na kusalitiwa?

Sep 4, 2019
45
125
Niaje, I hope mpo Gud.

Twende kwenye mada kipi kinauma sana endapo utagundua mpenzi wako anakusaliti na alikua anakuonyesha mapenzi kama kawaida au Mpenzi wako ghafla tu anakwambia sikutaki tuachane nimeshapata mwingine.

Kwa mimi naona kusalitiwa wadau.
 

Galileo_Gaucho

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,233
2,000
Daah hii kali alternative ya usaliti ni pamoja na uamuzi wa kuachwa, its simple akikuacha anaenda wapi na awe na nani na awe amepatana nae lini.
 

Zaburi 23

JF-Expert Member
Feb 22, 2017
551
1,000
Kuachwa ni matokeo ya usaliti ukiona umeachwa jua umesalitiwa inauma sanaa sema dah
 

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
856
1,000
Kusalitiwa kuachwa inauma kama haujatarajia ila unasahau tu baada ya muda ila ya kusalitiwa unawe za ukafa au kuuwa inauma sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom