Kipi kinafurahisha toka kwa Mpenzi wako tangu mmeanza mahusiano?

ngoja aje mtu aseme ananipenda kimapenzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚afu tutaroga
Dadeki almanusra nijichanganye..πŸ˜…
Ndo umenikosa Bora ungesema hufanyagi hizo mambo.. sasa umejua unakosea wapi..πŸ˜‚
 
Dadeki almanusra nijichanganye..πŸ˜…
Ndo umenikosa Bora ungesema hufanyagi hizo mambo.. sasa umejua unakosea wapi..πŸ˜‚
si ndo wewe umenishauri ko nikipata mtu nakuja unielekeze namna ya kuroga huon nimekujumuisha apo nikasema tuta means mimi na wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
si ndo wewe umenishauri ko nikipata mtu nakuja unielekeze namna ya kuroga huon nimekujumuisha apo nikasema tuta means mimi na wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
A we mi si mrogaji na sitaki kurogwa nilikuwa napima tu nione ukoje kwenye hayo mambo lkn nimegundua we ni mbele kwa mbele.. hulazi damu
Ingekuwa tofauti na hapo ningekuchukua mimi mwenyewe nikupe hizo hela za bila kuombwa..πŸ˜‚πŸ˜œ
 
Bwana weeeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚em niache niko kansani nipe tu hela ntakuroga kwa damu ya Yesu
 
amenifurahisha kwa mengi, mostly swala la kunizalia mtoto.
nampenda sana baby mama wangu.
 
Malalamishi tu ndo naenjoi maana akipiga simu cha kwanza uko wapi, ukichelewa kupokea / kutopokea simu kesi kwa nn sipokei simu yake.

Najuta kubeba ata no yake, naenjoi malalamishi na stress kutoka kwake, ukimuoa huyu lazima unyooke kama ruler
 
Mtu anapoanzisha mahusiano ya kimahaba na mtu wake ni wazi huwa kuna vitu vina mvutia lakini anapozidi kuwa naye karibu zaidi basi anapata wasaha wakuvifahamu vingi zaidi toka kwa soul mate wake.

Karibuni tu-share vitu ambavyo vinakuvutia toka kwa mtu wako wa karibu tangu mmeanzisha mahusiano. Angalizo usi-share vitu vya private sana lakini some how.

Binafsi mtu wangu wa karibu ni mcheshi sana, yaani nikiwa naye huwa na-enjoy ucheshi wake. Dada flani mbabe mbabe, ana jali saana kani-save sana, vi-amount vidogo dogo
We unaonekana unapenda hzo pesa anazokupa..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom