Kipi kimezikumba hizi biashara za hawa macelebrity

Ndiyo waache kuunga juhudi kizembe madhara yake ndiyo haya......

Hivi Flaviana Matata nae hana biashara bongo kweli?

Na yule secondlady wa Kisarawe hana biashara kweli??
 
Tatizo wana tegemea jina mtu kama Manara ana watukana wana Yanga juzi ana sema Zesco wasije na washangiliaji wao wapo utegemee mwana yanga anunue manukato yake hawajui biashara nini mdomo una weza kuathili biashara usipo uchunga..Pia biashara ina itaji mbinu na plan usitegemee jina
sahihi kabisa mkuu.
 
Mo Pamoja na kuimiliki Simba uwezi kumkuta akiongelea vibaya Yanga ana jijua yeye ni mfanya biashara watu wana weza kumsusia biashara zake..Sasa huyu ndugu yetu ye hajui..
Hahahaha, anaweka ushabiki mbele na unazi anasahau Biashara yake
 
Wanasemaga funika kombe mwanaharamu apite.
Wakubwa mnaelewa hizi biashara na madhumuni yake.
Hakuna cha strategy,marketing wala nini?!
Fungueni macho wandugu.
 
Tatizo wana tegemea jina mtu kama Manara ana watukana wana Yanga juzi ana sema Zesco wasije na washangiliaji wao wapo utegemee mwana yanga anunue manukato yake hawajui biashara nini mdomo una weza kuathili biashara usipo uchunga..Pia biashara ina itaji mbinu na plan usitegemee jina
Umesema huyo aliyemchagua Manara kupromote bidhaa yake ndiye mwenye matatizo......Manara na perfume wapi na wapi?!!!
 
Dellaboss perfume ya Hajji manara hii aliizindua kwa mbwembwe zote huyu msemaji wetu wana msimbazi. Lakini sasa kimyaa hata mwaka haijamaliza.

Mofaya ya Alikiba, hii ni kama sijui kufata mkumbo maana tangu aizindue sikuwahi kukutana nayo kokote.(sijui ndio kusema hapendi show off)

Chibu perfume ya Diamond. Hii nayo sioni chochote kikiendelea. Ila walio wahi kuitumia wanasema ni ya kawaida sana na bei ni kubwa mno(bei haiendani na bidhaa ni kama alikuwa anauzia jina)
Fynebyfalsafa ya Hamisi Mwijuma (mwana F.A), hii nayo naona kama haina maisha marefu maana hata promotion imepungua sana.

Mnaweza kuongezea biashara zingine za hawa ndugu zetu zilizokufa kifo cha mende.
Je, huwa wanakwama wapi labda?
Lawama zote kwa John
 
Yule wa kisarawe alikuwa na business ya nywele sijui hata iliishia wap baada ya kupata u dc
Ndiyo waache kuunga juhudi kizembe madhara yake ndiyo haya......

Hivi Flaviana Matata nae hana biashara bongo kweli?

Na yule secondlady wa Kisarawe hana biashara kweli??
 
Dellaboss perfume ya Hajji manara hii aliizindua kwa mbwembwe zote huyu msemaji wetu wana msimbazi. Lakini sasa kimyaa hata mwaka haijamaliza.

Mofaya ya Alikiba, hii ni kama sijui kufata mkumbo maana tangu aizindue sikuwahi kukutana nayo kokote.(sijui ndio kusema hapendi show off)

Chibu perfume ya Diamond. Hii nayo sioni chochote kikiendelea. Ila walio wahi kuitumia wanasema ni ya kawaida sana na bei ni kubwa mno(bei haiendani na bidhaa ni kama alikuwa anauzia jina)
Fynebyfalsafa ya Hamisi Mwijuma (mwana F.A), hii nayo naona kama haina maisha marefu maana hata promotion imepungua sana.

Mnaweza kuongezea biashara zingine za hawa ndugu zetu zilizokufa kifo cha mende.
Je, huwa wanakwama wapi labda?
alikiba mo faya anaziuza kwa mastar tu masikini hamuwezi kuuziwa
 
Ila karanga bado zipo mkuu
 
Mastar wabongo wanaofanya biashara kwa kujituma na mambo yanaenda
1. Esha salim buheti...huyu dada ni balaa kweye misosi
2. Shilole...nae ni mama ntilie biashara inakua
3. Jack wolper....house of bwangaz,huyu mchaga haa mchezo,
4.b dozen.....born2shine, huyu anajitahidi sana
Hizi ni biashara zakawaida zisizohitaji kiki na zinaenda fresh tu
Bdozen kilichomfikisha hapo ni promo za clouds na kupewa support na wasanii kwa kuamini atawabeba kwenye kipindi,na yeye asingefika kokote.
 
Mastar wabongo wanaofanya biashara kwa kujituma na mambo yanaenda

1. Esha salim buheti...huyu dada ni balaa kweye misosi

2. Shilole...nae ni mama ntilie biashara inakua

3. Jack wolper....house of bwangaz,huyu mchaga haa mchezo,

4.b dozen.....born2shine, huyu anajitahidi sana

Hizi ni biashara zakawaida zisizohitaji kiki na zinaenda fresh tu
Diamond mbona ujamuweka au mpaka uwone physical product business na Jux yupo wapi, Diamond ndio mfanyabiashara wakwanza kwa wasanii WCB, Wasafi TV fanya research kwenye hizo kampuni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom