Elections 2010 Kipi kimeshindikana kutangaza matokeo ya urais majimboni?

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Ivi NEC wanaweza kutuambia kuna tatizo gani kila jimbo kutangaza matokeo yake ya uraisi.
Unless kama kura za uraisi zimepigwa kwenye ofisi za NEC?
Kazi ya NEC ingekuwa kutupa idadi by people/jimbo/percentage kwa ujumla nchi nzima.
Na sio kuanza kuwapotezea watu mda wa kukaa kuanza kuwasikiliza jimbo hadi jimbo ili iweje?
To me naona wangetangaza jumla na mshindi then breakdown ya kila jimbo wangepost kwenye website yao.
As a result now wanajifanya wako bize na iyo kazi ya kutangaza mara asbi mara jioni ili mradi waonekane bize.
Kuna haja ya kujua wenzetu kama Brazil juzi walifanyaje sidhani kama walitumia utaratibu kama wa hii tume yetu kwa watu 201 mill wa brazil NEC si wangetumia mwezi
NAWAKILISHA
 
Ignore them, endelea na kazi zako kama kawaida tayari Kinana keshatangaza ushindi wa asimia 78.2%
 
Ni lazima wafanye hivyo ili wa jiridhishe kuw aasilimia 80 wanazotaka CCM zinapatikana. Wakiacha zitangazwe majimboni uchakachuaji utahusisha watu wengi na siri itafichuka
 
nani ana uhakika kama kweli ccm wanachakachua kwanini na chadema wasichakachue kwani mtu akiangalizia paper akatoka kuna wa kumuuliza si akili yake acheni mawazo potofu:tape:
 
Ukiwa sehemu ya wachakachuaji haiwezi kuwa tatizo
 
Kikwete keshawaagiza usalama wa familia yake a.k.a usalama wa taifa kwamba ushindi wake usiwe chini ya 70%.
 
nani ana uhakika kama kweli ccm wanachakachua kwanini na chadema wasichakachue kwani mtu akiangalizia paper akatoka kuna wa kumuuliza si akili yake acheni mawazo potofu:tape:

we ni chizi, mpuuzi sana, mtu akiangalizia we nawe ufanye hivyo akila kinyesi nawe ule. pumbafu kabisa. tutoke barabarani tukuonyeshe
 
Makada wa chama wakisha kunywa maji ya bendera Bluu kwao kijani
 
nani ana uhakika kama kweli ccm wanachakachua kwanini na chadema wasichakachue kwani mtu akiangalizia paper akatoka kuna wa kumuuliza si akili yake acheni mawazo potofu:tape:

unaonekana huufaham mfumo mzima.
Ccm ndo yenye dola,dola ndo imeiweka nec,hw comes chadema waweze chakachua wakati hawana nec inayotambulika kikatiba iliyopitwa na wakati?
 
Ivi NEC wanaweza kutuambia kuna tatizo gani kila jimbo kutangaza matokeo yake ya uraisi.
Unless kama kura za uraisi zimepigwa kwenye ofisi za NEC?
Kazi ya NEC ingekuwa kutupa idadi by people/jimbo/percentage kwa ujumla nchi nzima.
Na sio kuanza kuwapotezea watu mda wa kukaa kuanza kuwasikiliza jimbo hadi jimbo ili iweje?
To me naona wangetangaza jumla na mshindi then breakdown ya kila jimbo wangepost kwenye website yao.
As a result now wanajifanya wako bize na iyo kazi ya kutangaza mara asbi mara jioni ili mradi waonekane bize.
Kuna haja ya kujua wenzetu kama Brazil juzi walifanyaje sidhani kama
walitumia utaratibu kama wa hii tume yetu kwa watu 201 mill wa brazil NEC si wangetumia mwezi

NAWAKILISHA

hawana lolote majizee yasiyo na hekima na wasio na haya there is no logic at all kutokutangaza matokeo ya urais pamoja na ya wabunge na madiwani rubbish and corrupted nec
 
Hivi huyu daktari wa kupewa si yupo zenji kwann tusimzuie huku huko tuchukue nchi yetu :A S angry::A S angry::A S angry:
 
We mwana chonde ,achana na sihasa urudi kule maskani yetu,hapa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa
 
nani ana uhakika kama kweli ccm wanachakachua kwanini na chadema wasichakachue kwani mtu akiangalizia paper akatoka kuna wa kumuuliza si akili yake acheni mawazo potofu:tape:

crap, chadema watachakachua vipi matokeo?

kwanini mafisadi wa ccm msikubali kutumia kura zilizotangazwa vituoni?
 
kinana anasema lazima wapate 78.2 sasa jiulize hizo figure amepataje, maana hapo ndiyo NEC wanapohangaika mpaka zipatikane
 
Back
Top Bottom