Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,226
Ivi NEC wanaweza kutuambia kuna tatizo gani kila jimbo kutangaza matokeo yake ya uraisi.
Unless kama kura za uraisi zimepigwa kwenye ofisi za NEC?
Kazi ya NEC ingekuwa kutupa idadi by people/jimbo/percentage kwa ujumla nchi nzima.
Na sio kuanza kuwapotezea watu mda wa kukaa kuanza kuwasikiliza jimbo hadi jimbo ili iweje?
To me naona wangetangaza jumla na mshindi then breakdown ya kila jimbo wangepost kwenye website yao.
As a result now wanajifanya wako bize na iyo kazi ya kutangaza mara asbi mara jioni ili mradi waonekane bize.
Kuna haja ya kujua wenzetu kama Brazil juzi walifanyaje sidhani kama walitumia utaratibu kama wa hii tume yetu kwa watu 201 mill wa brazil NEC si wangetumia mwezi
NAWAKILISHA