Kipi kimeivutia FIFA kuja Tanzania

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,293
12,593
Wana jf hebu tudadavue nini kinaweza kuwa ndiyo sababu ya Fifa mwaka huu kuja Tanzania kufanyia mkutano wake.

Je, ni uongozi mzuri wa serikali ya awamu ya tano?

Je, ni kutokana na uzuri wa uongozi mpya wa TFF?

Au wamevutiwa na kitu gani hasa?
 
Ngoja uone baada ya mkutano ndo utajua wataenda angalia simba na twiga
 
Wana jf hebu tudadavue nini kinaweza kuwa ndiyo sababu ya Fifa mwaka huu kuja Tanzania kufanyia mkutano wake.

Je, ni uongozi mzuri wa serikali ya awamu ya tano?

Je, ni kutokana na uzuri wa uongozi mpya wa TFF?

Au wamevutiwa na kitu gani hasa?

Wamevutiwa na Juma Nyosso anavyowanyosso Watu wa ' Ndole ' na ' Vifuti ' vya usoni.
 
Back
Top Bottom