Kipi kimeikumba benki ya walimu Tanzania?

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,019
Mimi sio mwalimu lakini ni miongoni mwa watu walionunua hisa za benki ya walimu wakati inaanzishwa nina hisa zangu 2000. Mwanzoni wakati inaanza hisa zilipanda kutoka shilingi mitano mpaka miasita hamsini nakumbuka ulikuwa wakati wa jk, lkn baadae zikashuka na kuludi shilingi miatano.Toka hapo hazijawai kupanda tena mbaya zaidi ata ukitembelea tovuti ya benki yenyewe annual report awaweki ata zile quoterly report akuna.

Napata wasiwasi na maendeleo ya hii benki ukizingatia hapo mwanzoni wakati inaanzishwa tulitegemea itafanya vizuri sokoni ukizingatia wadau wahyo benki ndo wengi kuliko kada nyingine serkalini.

Kama mnanisikia viongozi na watendaji wa benki ya walimu please tuwekeeni taarifa za kifedha za kila robo ya mwaka ili kama tunapata hasara tujuwe nakama kunafaida tudai gawio letu.
 
Manofu walimu wameipa laana hii benki wao wenyewe wanalala kwenye vibanda vya mbavu za mbwa ila viongozi wanatembelea firali
Kuna kamsemo kanaitwa ningelijuwa sijui kwa kiswahili zinaitwa sentensi shurutia kwa kingeleza ni conditional sentence
 
Niliombaga kazi hapo. Sikufaulu hata kwenye interview. Dah wasiifanyie hivyo bwana, waihuishe bwana hiyo benki.
 
Sijaona tawi physically ila katika hizo nafasi walionyesha kua ofisi zipo Dar, kama nakumbuka vizuri ni Msasani.
Mungu ana makusudi yake pengine sasa hv ungekuwa unapumulia machine.
 
Hii bank ingekua ya walimu ingefanya vizuri sana hasa kutokana na uwingi wao, naamini hii bank sio ya walimu, kuna watu nyuma ya pazia na ndo maana walimu wenyewe wameisusa
 
Back
Top Bottom