Kipi kibaya zaidi kati ya kutembea na binamu au shemeji?

Baadhi ya makabisa hapa tz wote ni halali. mfano, kabila langu mtu wa kujifunzia kufanya mapenzi ni binamu, hata leo nikienda kijijini binamu yangu hata kama ameolewa atanitania mimi kuwa ni mume wake hata mbele ya bwanake, ni kitu cha kawaida, ni mtani ambaye unaweza kuoa hata kuoa. ila ndio mtu wa kwanza mrahisi unayeweza kujifunzia kufanya ngono utotoni na hata sio ajabu.

Ila shemeji pia sio haramu. nikiongea binamu hapa namaanisha mtoto wa mjomba au mtoto wa shangazi (sio mtoto ba baba mdogo au baba mkubwa, hao ni dada au kaka hutakiwi kugusa).....kikwetu, shangazi hadi leo ni mkwe (which means unaweza kuoa au kumla binti yake), the same applies to mjomba, ni mkwe, hata kama hautaoa binti yake lakini ni mtu ambaye unaposogea kwake unatakiwa kuogopa kidogo na uweke adabu zote.
 
Aisee hakuna kitu ile inanoga kama kumpelekea moto binamu aisee!!!
Mi yule simuachi na ni mke wa mtu maana sio kwa utamu ule🤗🤗🤗🤗
 
Binamu hapana ,huyo ni ndugu kabisa , na shemeji ( mke wa Kaka ) hapana pia ni dharau Kwa Kaka aiseee,Ila mdogo wake shemeji (mke wa Kaka) huyo nakula bila shida na nikimwelewa naweza nikaoa kabisa , sema kuna mchaga hapa mtoto mkali kweli , mdogo wake shemeji ( mtoto wa ba mdogo wake ) ananikazia kinoma anadai kabila Lao haliruhusu , mi ni Kaka yake , aiseee huyu mtoto anaita hatari ....Ila nakomaa mwanzo mwisho
 
Comment zimeheshimu tu uenyeji wa mtoa mada ila isingekuwa hivyo ingekuwa kama ifuatavyo

Tanzania ya viwounder

Ccm ndo ilipotufikisha

Kwa akili hizi acha tu mabeberu watuite shit hole

Unawaza ngono tu

Mwishowe ugeukie Dada zako

Unayumba man

Unafeli wapi?
 
Back
Top Bottom