Kipi kati ya haya mawili kina unafuu au ni bora zaidi

Herry jr

Member
Oct 16, 2020
32
125
Naomba niwashirikishe kwny challenge nnayokutana nayo, ni hv:

Nipo kweny harakati za kupanga na kuanza maisha yangu nikiwa natokea gheto, mm ni muajiriwa nafanya kazi maeneo ya morocco.

Nawaza kipi ni bora kati ya haya maamuz mawili;

1. Kupanga sehem ya mbali mfano bunju ambyo nitaweza kupata chumba kizuri kwa gharama nafuu let say chumba kikubwa cha masters 80K au chumba na sebule kwa 80k hyohyo

2. Au kupanga maeneo karbu na mjini like magomeni au ubungo ambyo nitapata chumba masters cha kawaida kwa bei hyohyo ya 80K but gharama za nauli zinakua chini

Nahitaji mawazo yenu ktk hili muweze kuliangalia ktk angle zote
 
kawoli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
6,136
2,000
Hivi kwa mtindo huu boss wako huwa anakuombaga ushauri wa kikazi kweli?, maana kama swala dogo kama hilo unashindwa kufanya upembuzi yakinifu kulingana na kipato na interest zako, utaweza kushauri maswala ya ofisi kweli? Namuhurumia baliyekuajiri.
 
Uzalendo Installer

JF-Expert Member
Nov 8, 2014
3,497
2,000
Hivi kwa mtindo huu boss wako huwa anakuombaga ushauri wa kikazi kweli?, maana kama swala dogo kama hilo unashindwa kufanya upembuzi yakinifu kulingana na kipato na interest zako, utaweza kushauri maswala ya ofisi kweli? Namuhurumia baliyekuajiri.
Wote wanafanana pengine kaanza kuomba ushauri kwa boss akashindwa ndio kaleta humu
 
Aqua

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
1,632
2,000
Hivi kwa mtindo huu boss wako huwa anakuombaga ushauri wa kikazi kweli?, maana kama swala dogo kama hilo unashindwa kufanya upembuzi yakinifu kulingana na kipato na interest zako, utaweza kushauri maswala ya ofisi kweli? Namuhurumia baliyekuajiri.
Ndugu huwezi jua ,yeye kasema anafanya kazi maeneo ya Morocco ila hajasema kazi gani,ila uko sahihi kama issue kama hii unataka watu wakusaidie kuna kauvivu ka kufikiri.Au ndiyo huko mtaani wanasema "nenda JF" huko utasaidiwa🤣🤣🤣🤣
 
mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
2,925
2,000
Nenda magomeni. Hata kama room ni single ila Ina kila kitu, labda ni meneja sehemu tafuta masterrrom maeneo ya kinondoni, mwananyamala n. K
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom