sylla
New Member
- Jul 30, 2020
- 3
- 15
Ni story ipi au jambo gani huwezi lisahau lililo kukuta kwenye mahusiano yako
mi nakumbuka siku ya kunza kuaprochi nilitetemeka sana hadi binti niliyekuwa namtongoza mbona unatetemeka vp unaumwa bahat nzuri nilikua sijamtamkia kuwa napenda hapo ndipo nikapata upenyo nilimjibu ndio naumwa ndo maana nilikufata wewe ili unisindikize home daah
ilikua ni form two