Kipi huchangia maskini kudumu zaidi ndoani kuliko wenye kipato cha kati au matajiri?

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wakuu,

Ukiitazama taasisi ya ndoa utagundua maskini wakafanikiwa zaidi kudumu ndoani kuliko wenye kipato cha kati/matajiri.

Je, kwa mtizamo wako unadhani ni ipi sababu ya ndoa za maskini kudumu kuliko za wenye kipato cha kati/matajiri?
 
Back
Top Bottom