Kipi hasa kiliikumba SS Ourang Medan

Mkuu zitto junior hii ndio niliyoiona mimi.
Cc. Wick
Ghost Ship is a 2002 American-Australian horror film directed by Steve Beck. The film follows a marine salvage crew in the Bering Sea who discover a mysterious ocean liner that disappeared in 1962.

Ghost Ship
Aisee hii movie naipendaga sana, hivi haina sehem ya pili kwel, Maana pale ilipoishia yule bwana akawa anapandisha tena masunduku yake kwenye meli nyingine kuashiria bado kisa kinaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakusubir mkuu Iyegu.
zitto junior kuna muvi moja niliiona around 2013/2012 inaitwa Ghost ship(kama sijasahau) inaeleza kisa kama hiki ulichoandika watu walikua wanacheza ukumbini ukapita waya mwembamba katikati yao ukawakta vipande vipande meli zima pia kukawa na mambo ya ajabu ajabu. Sijui ndio stor yakewameitoa hapo..
Ngoja nizame kufuatilia...
Ile ilikua mission ya watu, kama ukikimbuka vizuri ule waya ulitegeshwa na watu na ndio maana waliokua wamenusurika walikua wanamaliziwa, ambapo movie ikalenga kuonesha athari za mizimu ya wale marehem waliokuwa ktk meli ile... Ila kisa cha hii ndio kwanza nakisoma na kwa maelezo ni tofauti na ghost ship.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakusubir mkuu Iyegu.
zitto junior kuna muvi moja niliiona around 2013/2012 inaitwa Ghost ship(kama sijasahau) inaeleza kisa kama hiki ulichoandika watu walikua wanacheza ukumbini ukapita waya mwembamba katikati yao ukawakta vipande vipande meli zima pia kukawa na mambo ya ajabu ajabu. Sijui ndio stor yakewameitoa hapo..
Ngoja nizame kufuatilia...
Mkuu nimeiona hiyo
Ni bonge la movie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii meli ni kwamba ilivamiwa na maharamia na kuwateketeza watu wote kwa sumu
Lakini mpaka leo hakuna ushahidi wa meli hii kuvamiwa.... Na kama walivamiwa wangekuta mlango imevunjwa na pia yule aliyerusha mawasiliano lazima angeomba msaada kuwa wametekwa ila alichosema ni kwamba tu watu wanakufa huku na kule.... Ikimaanisha hakujua chanzo.

Na hoja nyingine ni kwamba walipokuja kutoa msaada walikuta hao wafanyakazi hamna mwenye majeruhi kweny mwili sasa staki kuamini maharamia wavamie hata risasi isirushwe wala mtu kupigwa ngumi au mlango kuvunjwa.... N.k n.k

Unless kuna source mpya imefikia hiyo hitimisho
 
Kweli mkuu wanasema hadi leo imebaki ni siri hakuna mtu anayejua
Lakini mpaka leo hakuna ushahidi wa meli hii kuvamiwa.... Na kama walivamiwa wangekuta mlango imevunjwa na pia yule aliyerusha mawasiliano lazima angeomba msaada kuwa wametekwa ila alichosema ni kwamba tu watu wanakufa huku na kule.... Ikimaanisha hakujua chanzo.

Na hoja nyingine ni kwamba walipokuja kutoa msaada walikuta hao wafanyakazi hamna mwenye majeruhi kweny mwili sasa staki kuamini maharamia wavamie hata risasi isirushwe wala mtu kupigwa ngumi au mlango kuvunjwa.... N.k n.k

Unless kuna source mpya imefikia hiyo hitimisho
 
"The man, before perishing, tells the missionary that the ship was carrying a badly stowed cargo of sulphuric acid, and that most of the crew perished because of the poisonous fumes escaping from broken containers."
 
daaah!!! dunia inamambo sana mkuu` bahati mbaya watu hawakubali kukosa majibu ya uhakika katika mambo yalio nje ya uwezo wa akili ya kibinadamu. kwa mf wa kisa hiki kilichokosa majibu ninini kilichotokea watu wana sema ni kemikali, hali yakua ushahidi wa kwanza wakwanza unaonjesha ni jambo lililofanyika tofauti na kawaida .

sisi pia tunaweza kukosa majibu maana hatuna utafiti wowote kwa kisa kama hiki , zaidi tunadhani tu na dhana zetu zinaingia akilini.
kwa ni mashambulizi yaliosababishwa na kitu au jitu lililo na utofauti na mwanadamu au viumbe tulivyozoea kmuona, na dhana inaenda mbali zaidi ya kwamba huyo mshambulizi ametoka nje ya dunia.

lengo bado hatuwezi kujua zaidi ya dhana tuu labda ni test ya uwezo wao au jambo linginelo lakini yote ya yote si jambo la kudhibitisha kisayansi.

asante pia kwa mada nzuri na fikirishi na yenye kueleza kwamba dunia ni zaidi tuijuavyo.
 
Back
Top Bottom