Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,099
- 630
Tanzania kwa sasa imesheheni vyuo vikuu vingi, kwa mfano mdogo
kuna Mikoa ina vyuo vikuu vitatu na kuendelea. Ni maendeleo mazuri!
Ubora wa Elimu unaotolewa katika vyuo tulivyonavyo ukoje na unaendana
na nyakati tulizo nazo???
Kipi kilicho chuo bora kwa Tanzania???
kuna Mikoa ina vyuo vikuu vitatu na kuendelea. Ni maendeleo mazuri!
Ubora wa Elimu unaotolewa katika vyuo tulivyonavyo ukoje na unaendana
na nyakati tulizo nazo???
Kipi kilicho chuo bora kwa Tanzania???