Kipi chuo bora cha ualimu wa Sanaa kati ya UDOM na MKwawa?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,472
2,845
Heloo, vipi wakuu

Naomba kujuzwa zaidi au kutaka ufafanuzi zaidi juu ya chuo kizuri cha ualimu wa sanaa hapa Tanzania.
.
kwa upande wangu nimeandika Dodoma na Mkwawa hivo nataka hapa kimoja kiwe first priority, sasa kipi kiwe cha kwanza??

Kwa upande wa pili nimechagua Logistics and Transportation bachelor NIT, naomba kujuzwa ni nzuri? Pia naweza jiajiri nikipangiwa?
 
Back
Top Bottom