Kipi cha kufanya kwa kijana anayeanza maisha?

Ipi nzuri?


  • Total voters
    14

Beberu

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
3,926
7,903
Habari za muda huu watanzania wenzangu
Kati ya
1.kufuga ng'ombe wa maziwa na kulima mazao ya bustani pemben yake eg.Hoho,chinese,pilipili etc (location ni pwani au Dar)

2.Kufanya uwakala wa mobile money mpesa,tigopesa etc

3.kufungua duka la dawa baridi za binadamu
 
Zote ni furksa...

Ila ndoto za furksa huwa zinakufa kwa ukosefu wa market + mzunguko wa watu.

Kwa mfano:Uwakala..lakini Jee? utakapofungulia kijiwe chako pana mzunguko wa fedha/watu wa kutosha? Kuwezesha kupata miamala mingi???

Dawa baridi: Uhitaji wake unakuwa wa kusuwa suwa

Ng'ombe: una connection? mbali na gharama za utunzaji


Yote kwa yote..

/2/Kufanya uwakala wa mobile money mpesa,tigopesa etc
 
Watu wengi hua wana underrate sana DLDM sijui kwanini.

Fungua Duka La Dawa Muhimu na uweke huduma za fedha kama tigopesa na mpesa tu hapohapo.

Kama wewe sio muuzaji hakikisha unashinda hapohapo dukani kwako ukisimamia upande wa miamala.

Nna imani unaweza kuanza kwakusuasua sana ila lipe muda ndani ya miezi 12 litakushangaza mno nakuhakikishia hilo sababu naifanya hii,ni kitu nilichokisomea pia.

Eneo liwe mahali ambapo hakuna Pharmacy karibu au za afya karibu(vijijini).
 
Kwa mtazamo wangu biashara nyingi gu ambazo watu wanafanya zinalipa itategemea na wewe unapendelea ipi, japokuwa kwa kila biashara nafikiri vitu vikuu vya kuzingatia ni
***Location ***na
Uhakika wa soko, uhitaji wa bidhaa/huduma unayouza/kutoa
Unaweza kufanya biashara ya mobile money kwa mtaji sawa na mtoa huduma mwingine lakini mkatofautiana kimapato kwasababu tu ya location
 
Back
Top Bottom